CV ya Profesa Jay (Joseph Haule)

Kwa uchache jamaa amemaliza form six na amefanya kazi ya kuajiriwa voda ama tigo kama sikosei Tanga then akapiga chini ili aweze kuwasilisha mistari. Kwenye mistari jamaa amefanya vema sana mpaka kuwashawishi madingi sio tu kusikiliza ila mpaka kuwaruhusu watoto wao kufanya music hata leo wanajigamba kwa pombe na ngono. Na ükweli ambao unawauma wengi ni kuwa Jay a.k.a HIROSHIMA&NAGASAKI yuko smart pengine hata kumzidi sugu so karata hii ccm inawacost. Ushahidi uko wazi jinsi shyrose Banji alivokuwa busy kumshawishi jay aingie siasa akimtaka ccm.
 
Chillux! Education does matter although not absolutely. However, u can't deny that this move by Prof J is not significant reason being;
It's made headlines and n CCM guy in his/her rightful mind ought to be worried of profs influence especially on the youth- come 2015 elections.
 
ana elimu ya kidato cha sita na wakati fulani alifanya kazi kampuni ya tigo kule tanga
 
Mbona unakuwa na wivu wa kijinga??? Alikuwa anafanya kazi tigo, kule wanatumia ungo kufanya kazi kazi co computer????
Big up prof jay, tupo nyuma yako
 
Kwani Majimarefu (Korogwe) na Jah People (Njombe Kask) wana elimu gani?

Bila shaka watakuwa na Phd kwani wanachama wa CCM wote ni graduates. Viongozi wao ni Phd holders woote I guess..
 

hi sio cv. kajipange dogo:tongue:
 
Jamani watu acheni uzushi,mnasema tu vitu bila kuwa na uhakika,then mjiite great thinkers,profesa J,hajaishia darasa la nne,nina uhakika asilimia mia,coz amesoma na kaka yangu kigurunyembe sekondari,ulizeni wale waliokuwepo pale miaka ya 1990,msikurupuke kuharibu cv za watu haipendezi,na J ametoka kwenye familia inayojua nini maana ya elimu,huwezi kumfananisha na diammond,sema tu utundu ndo ulimfanya asifike mbali kielimu.baba yake alikuwa ni meneja wa TTCL mikoa mbalimbali miaka hiyo,na mama yake anafanya kazi TPB kama hajastaafu.huwezi kabisa kumlinganisha na diammond mtoto wa uswazi mwenye wazazi wasio jua nini maana na umuhimu wa elimu kwa mtoto.NO RESEARCH,NO RIGHT TO SPEAK.
 
1. Kwani katiba ya nchi inasemaje kuhusu mtu anayefaa kugombea nafasi ya uongozi?
2. Kuna mahali imetaja elimu ya mtu?
 
Join Date : 21st May 2013
Posts : 2

Jitahidi kuongeza Post! Halafu nakushauri nenda kakojoe halafu ukalale!
 
Mbona unakuwa na wivu wa kijinga??? Alikuwa anafanya kazi tigo, kule wanatumia ungo kufanya kazi kazi co computer????
Big up prof jay, tupo nyuma yako

huko nyuma unafanya nini?
 
Weka na ya kwako tuone. Mtu awe na uwezo wa kushinda tuzo zote hizo kwa elimu ya darasa la 4? Then hujatwambia alisoma wapi shule ya msingi kwa jinsi ulivyo mpumbavu. Yaani watu wengine hawafai kabisa ktk jamii.
 
Majungu co maridadi,prof jay kabla hajachukua card y Chadema hamkumsema vibaya after takng a card wa2 wa magamba mmeanza kushu2mu,c mda mrefu mtampangia skendo za kumchafua mkiofia atachukuwa jimbo 2015,jimbo 2tachukuw 2,
 
Huyo jamaa una wivu xn,prof jay kakuuma xn kujiunga Chadema ee,kwatarifa yko nampigia kura ktk count yngu 2015.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…