CV ya Profesa Jay (Joseph Haule)

CV ya Profesa Jay (Joseph Haule)

Kwa uchache jamaa amemaliza form six na amefanya kazi ya kuajiriwa voda ama tigo kama sikosei Tanga then akapiga chini ili aweze kuwasilisha mistari. Kwenye mistari jamaa amefanya vema sana mpaka kuwashawishi madingi sio tu kusikiliza ila mpaka kuwaruhusu watoto wao kufanya music hata leo wanajigamba kwa pombe na ngono. Na ükweli ambao unawauma wengi ni kuwa Jay a.k.a HIROSHIMA&NAGASAKI yuko smart pengine hata kumzidi sugu so karata hii ccm inawacost. Ushahidi uko wazi jinsi shyrose Banji alivokuwa busy kumshawishi jay aingie siasa akimtaka ccm.
 
Chillux! Education does matter although not absolutely. However, u can't deny that this move by Prof J is not significant reason being;
It's made headlines and n CCM guy in his/her rightful mind ought to be worried of profs influence especially on the youth- come 2015 elections.
 
ana elimu ya kidato cha sita na wakati fulani alifanya kazi kampuni ya tigo kule tanga
 
Mbona unakuwa na wivu wa kijinga??? Alikuwa anafanya kazi tigo, kule wanatumia ungo kufanya kazi kazi co computer????
Big up prof jay, tupo nyuma yako
 
Kwani Majimarefu (Korogwe) na Jah People (Njombe Kask) wana elimu gani?

Bila shaka watakuwa na Phd kwani wanachama wa CCM wote ni graduates. Viongozi wao ni Phd holders woote I guess..
 
Joseph Haule a.k.a Professor Jay (amezaliwa tar. 29 Desemba 1975) ni msanii wa muziki wa hip hop laini kutoka nchini Tanzania. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Professor Jay. Katika Tanzania, Prof. Jay anatazamika kama msanii aliyeweza kuwateka wazee waweze kusikiliza muziki wa Bongo Flava. Hasa kwa kibao alichofanya wakati yupo na kundi la Hard Blasters Crew – Chemsha Bongo. Professor Jay anatokea kundi la Hard Blasters Crew. Kundi hili ni moja ya makundi yaliyofanya muziki huu ambao hujulikana kama ‘muziki wa kizazi kipya’ kukubaliwa na sehemu kubwa ya wa Tanzania.
Maisha ya muziki

Professor Jay alianza shughuli za muziki mnamo miaka ya 90 hivi na alijiunga na kundi la ‘Hard Blasters Crew’(HBC) mnamo mwaka 1994. Mwaka 1995 Jay na HBC walishinda kuwa kundi bora la Hip Hop nchini Tanzania. Jay na HBC walitoa albamu ya kwanza iitwayo ‘Funaga Kazi’ mwaka 2000 Albamu hiyo inaaminika kwamba ilileta mapinduzi makubwa sana ya muziki wa Hip Hop nchini Tanzania. Albamu hii yenye ujumbe mzito ina nyimbo kama ‘Chemsha Bongo’ na ‘Mamsapu’ ambazo zilichangia kufanya muziki wa ‘Bongo Flava’ kuwa wa kila rika na kupewa heshima. Kabla ya hapo muziki huu ulionekana kuwa ni muziki wa wahuni.


Msanii Binafsi


Professor Jay aliamua kuwa msanii binafsi mnamo 2001 na muda mfupi baada ya hapo akatoa albamu yake ya kwanza iitwayo “Machozi Jasho na Damu”. Albamu hii ilivuma haraka sana na kumfanya Prof. Jay kupata tuzo ya kuwa mtunzi bora wa Hip Hop nchini Tanzania kwa nyimbo yake ya ‘Ndio Mzee’ kutoka kwenye albamu hiyo. na ikifuatiwa na Nyimbo ya “Piga Makofi na Bongo Dar es Salaam”
Mwaka 2003 Alitoa albamu ya pili iitwayo “Mapinduzi Halisi” ambayo nayo ilishinda tuzo ya Kili Music Awards kuwa albamu bora ya Muziki wa Hip Hop nchini Tanzania kwa mwaka 2003. Albamu hii imebebanNyimbo kama “Zali la Mentali”, “Msinitenge,” na “Promota Anabeep”
Mwaka 2006 Januari alitoa albamu ya tatu iliyoitwa “J.O.S.EP.P.H”. Jina la albamu hii lilitokana na nyimbo iliyotoka Mwanzo kabla ya Albamu kutoka. Nyimbo hii ilichaguliwa kuwa nyimbo bora ya Bongo Flava kwenye BBC na Radio One Awards.
Mpya imewahi kuteuliwa kuwa ni albamu bora ya Hip Hop , Mtunzi bora wa nyimbo za Hip Hop, na Nyimbo bora ya Hip Hop ya mwaka kwenye Kili Music Awards. 2006.”Nikusaidieje”. na Baadae Kisima Music Awards ya Kenya ilikuwa Nyimbo bora ya Hip Hop na Video bora ya Hip Hop kutoka nchini Tanzania.
Tuzo Alizopata


  • 1 Kili Music Awards ( 2003 )
  • 2 BBC, Radio One Awards ( 2006 )
  • 3 Kili Music Awards ( 2006 )
Muhtasari wa Albamu


  • 1 Aluta Continua ( 2007 ) Ipo Njiani Kutolewa
  • 2 J.O.S.E.P.H. ( 2006 )
  • 3 Mapinduzi Halisi ( 2003 )
  • 4 Machozi Jasho na Damu ( 2001 )

Education
Standard IV



My take

Chadema mmekula garasha
sijui kama Prof Jay anajua hata kuandika au kutumia computer

hi sio cv. kajipange dogo:tongue:
 
Jamani watu acheni uzushi,mnasema tu vitu bila kuwa na uhakika,then mjiite great thinkers,profesa J,hajaishia darasa la nne,nina uhakika asilimia mia,coz amesoma na kaka yangu kigurunyembe sekondari,ulizeni wale waliokuwepo pale miaka ya 1990,msikurupuke kuharibu cv za watu haipendezi,na J ametoka kwenye familia inayojua nini maana ya elimu,huwezi kumfananisha na diammond,sema tu utundu ndo ulimfanya asifike mbali kielimu.baba yake alikuwa ni meneja wa TTCL mikoa mbalimbali miaka hiyo,na mama yake anafanya kazi TPB kama hajastaafu.huwezi kabisa kumlinganisha na diammond mtoto wa uswazi mwenye wazazi wasio jua nini maana na umuhimu wa elimu kwa mtoto.NO RESEARCH,NO RIGHT TO SPEAK.
 
1. Kwani katiba ya nchi inasemaje kuhusu mtu anayefaa kugombea nafasi ya uongozi?
2. Kuna mahali imetaja elimu ya mtu?
 
Join Date : 21st May 2013
Posts : 2

Jitahidi kuongeza Post! Halafu nakushauri nenda kakojoe halafu ukalale!
 
Weka na ya kwako tuone. Mtu awe na uwezo wa kushinda tuzo zote hizo kwa elimu ya darasa la 4? Then hujatwambia alisoma wapi shule ya msingi kwa jinsi ulivyo mpumbavu. Yaani watu wengine hawafai kabisa ktk jamii.
 
Majungu co maridadi,prof jay kabla hajachukua card y Chadema hamkumsema vibaya after takng a card wa2 wa magamba mmeanza kushu2mu,c mda mrefu mtampangia skendo za kumchafua mkiofia atachukuwa jimbo 2015,jimbo 2tachukuw 2,
 
Huyo jamaa una wivu xn,prof jay kakuuma xn kujiunga Chadema ee,kwatarifa yko nampigia kura ktk count yngu 2015.
 
Back
Top Bottom