CV ya Profesa Jay (Joseph Haule)




Tatizo ni kwamba sijawahi kupigwa ban hata siku moja toka nijiunge na JF na ni jambo hilo ambalo sitaki kabisa linitokee, ila we bwana ningekuwa sitaki ban hapa ningekutukana mpaka sijui wapi, na yote hayo nayameza tu kwa sababu ya ban.Watu kama nyie mnaishi kwa sababu kuwaua ni dhambi....
 
Jay z he didn't even finish high school,where's he at now? We have seen bunch of well educated people, they're nothing but hypocrite, cockroaches, what about former British prime minister John major? Was he educated politician? Most of educated people are dumb fools.
 
Yaani ww??
mshukuru shetani wako kwa kuwa sikuoni, la sivyo SERIKALI Wangekuwa Wameshanipangisha chumba kule SEGEREA.
 
Elimu sio Uongozi! Usibaki kuamini katika elimu yetu ya vyeti, wapo watu wana Degree, Masters na PHD lakini ni uozo mtupu na hawana mchango kwa jamii yetu zaidi ya kuikandamiza na kuinyima maendeleo!
 
The Shumpeter,

Jinsi ulvyoandika hiyo "CV" inaonyesha ELIMU na uelewa wako,
-Pili ungeleta vigezo vya 'elimu' CHADEMA inavyotaka kujiunga navyo, ili tuone kama amekiuka masharti.
-Ni vizuri, kufikiri wewe una elimu kubwa kuliko Joseph Haule, lakiji tuambizane wewe umefanya nini?
 
Last edited by a moderator:

Hii sio cv wewe mpumbavu
 
Prof kasoma Sekondari nadhani huko Tukuyu
lakini mleta hoja ungeleta kujulishwa Elimu
yake si kile unachoamini na hakiko sawa.


Naona umeupotosha umma kwa kiasi flani
lakini kumbuka wasomi unaowaamini wewe
ndiyo wanasaini Mikataba hata bila kuisoma.
 
Jaman mbona professor jay kamaliza Lutengano 4m six Mbeya Tukuyu

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
elimu siyo ishu maana kuna waziri mmoja hapa kaenda vidato sana lakini kila wizara anayopelekwa ANAPWAYA tu nafikiri ni fadhira ya kuwa cjui wametoka kumoja na ......., uongozi cyo elimu, hata prof.Jay anaweza kuwa kiongozi mzuri tu asiyekuwa mtawala!
 
JAMANI 60% YA 2012, KADI YA CCM NA 7000 ZA LUMUMBA ZINATUSUMBUA.

HII ULIYOANDIKA HAPA NI BIOGRAPHY NA SI CV KAMA ULIVYODAI NA HAPA UNADHIBITISHA KUWA HATA FORM FOUR UNAYOIPONDA HUKUMALIZA AMA UMO KWENYE LILE KUNDI MAARUFU LA 60%.

jielimishe hapa.

Biography-the story of a person's life written by somebody.
(Ni historia ya mtu inayoandikwa na mtu mwingine)

Autobiography-the story of a person written by that person(ni historia ya mtu inayoandikwa na mhusika mwenyewe)

Curriculum Vitae(CV)-A written record of your education and the jobs you have done,that you send when you are applying for jobs.
(taarifa za elimu na kazi ulizofanya-kazi za kielimu,taarifa hutumika kuombea kazi.)


SASA NADHANI NIMEKUTOA UJINGA ULIOKUWA NAO NA UNAWEZA KUANDIKA UPYA CV YA PROF. J.

PIA TAMBUA KATIKA CHAMA TUNAMTAKA MTU YEYOTE BILA KUJALI ELIMU YAKE NA HATA WASIOJUA TOFAUTI YA CV,biography na autobiography kama ulivyo wewe mleta uzi tunawataka pia waje chadema.
 
unaweza kuwa na elimu usiwe mzalendo elimu yako ikakusaidia kuibia taifa tu,me naona anajielewa ndio maana hata akaandika ile ndio mzee....
Kwani we unavyojua Rais wako ana elimu gani mbona mmempa nchi
 

acha ulimbukeni wewe....kusoma ndo kuongoza???wako wapi wale wasomi wezi kule bungeni?kule ccm???amka weee
 

hahahaha najaribu kuvuta taswira ya ayo matusi uliyoyameza, raiti Kama ungeyatoa, huyu jamaa angesimulia huko kwako aliko...hahahaha
 
Kamaliza Lutengano form six, labda unayemuongelea ni mwingine.
 
mmh jf kuna watu wengine ukishika ni kupigilia msumari wa kichwa tu yani ilo lijitu lilivyo post tu apa mmmh wewe sio bure shule huna ni sifa tu eti cv ya jay ni iv shwaini mkubwa wewe..arrrrggggggh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…