CV ya Profesa Jay (Joseph Haule)

Jamaa tungo zake tu zinaonyesha kuwa ni mwanaharakati anayeelewa matatizo ya wavuja jasho. Na akipata ubunge anaweza kuwa mbadala wa wale wa kijani wote wanaosinzia bungeni kutwa nzima!

Aluta continua!
 
Acheze na computer ili afanyaje?
Hapa ni mabadiliko tuu
 
Prof j hajawahi fika form 6 na wala hana sifa za kufanya mtihani wa form 6,aliishia form 4 ndiyo akaajiriwa ttcl kama karani.
 
kwa hiyo si tusio na elimu ya juu hatutakiwi kujiunga na vyama vya siasa

Kujiunga mna jiunga wala sio dhambi tatizo ni madaraka mtu anayoyataka pasipo taaluma husika kuongoza watu sio kuchunga mbuzi na ng'ombe!
 
Mbona naskia akiimba KWA kiingereza wakati mwingine, tena na ascent ya mzungu, alikijulia wapi kama na school dropout?

Kwahiyo kujua kizungu ndo kwenda shule? Poor you!!
 
Prof j hajawahi fika form 6 na wala hana sifa za kufanya mtihani wa form 6,aliishia form 4 ndiyo akaajiriwa ttcl kama karani.

Tanzania kunaogozwa na Professa lakin hajui kwann taifa n maskini
 
Mwandishi unauhakika na hiyo cv yako au na wewe unataka kick tu?
 
Unauhakika na cv yako? Prof kafika a-level kwa taarifa tu
 
Hatimaye yametimia baada ya Joseph Haule aka Prof J kutangazwa kuwa ndo mbunge mteule wa jimbo la Mikumi.
 


LUSINDE KASOMA BSC IN COMPUTER au sio :crazy::crazy:
 
cv? biogragh? mtaalam naomba tofauti ya haya maneno.
 

Mbunge wa mikumi 2015-2020 ni prof jey. Acha kijiba cha roho nafikiri utajinyonga ukiwa unamuona pale mjengon.
 

Vipi umeshamaliza kula matapishi yako?
 

Ataajiri watu wa kufanya kazi hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…