CV ya Profesa Jay (Joseph Haule)

CV ya Profesa Jay (Joseph Haule)

Jamaa tungo zake tu zinaonyesha kuwa ni mwanaharakati anayeelewa matatizo ya wavuja jasho. Na akipata ubunge anaweza kuwa mbadala wa wale wa kijani wote wanaosinzia bungeni kutwa nzima!

Aluta continua!
 
Acheze na computer ili afanyaje?
Hapa ni mabadiliko tuu
 
Prof j hajawahi fika form 6 na wala hana sifa za kufanya mtihani wa form 6,aliishia form 4 ndiyo akaajiriwa ttcl kama karani.
 
kwa hiyo si tusio na elimu ya juu hatutakiwi kujiunga na vyama vya siasa

Kujiunga mna jiunga wala sio dhambi tatizo ni madaraka mtu anayoyataka pasipo taaluma husika kuongoza watu sio kuchunga mbuzi na ng'ombe!
 
Prof j hajawahi fika form 6 na wala hana sifa za kufanya mtihani wa form 6,aliishia form 4 ndiyo akaajiriwa ttcl kama karani.

Tanzania kunaogozwa na Professa lakin hajui kwann taifa n maskini
 
Mwandishi unauhakika na hiyo cv yako au na wewe unataka kick tu?
 
Unauhakika na cv yako? Prof kafika a-level kwa taarifa tu
 
Hatimaye yametimia baada ya Joseph Haule aka Prof J kutangazwa kuwa ndo mbunge mteule wa jimbo la Mikumi.
 
Joseph Haule a.k.a Professor Jay (amezaliwa tar. 29 Desemba 1975) ni msanii wa muziki wa hip hop laini kutoka nchini Tanzania. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Professor Jay. Katika Tanzania, Prof. Jay anatazamika kama msanii aliyeweza kuwateka wazee waweze kusikiliza muziki wa Bongo Flava. Hasa kwa kibao alichofanya wakati yupo na kundi la Hard Blasters Crew – Chemsha Bongo. Professor Jay anatokea kundi la Hard Blasters Crew. Kundi hili ni moja ya makundi yaliyofanya muziki huu ambao hujulikana kama ‘muziki wa kizazi kipya' kukubaliwa na sehemu kubwa ya wa Tanzania.
Maisha ya muziki

Professor Jay alianza shughuli za muziki mnamo miaka ya 90 hivi na alijiunga na kundi la ‘Hard Blasters Crew'(HBC) mnamo mwaka 1994. Mwaka 1995 Jay na HBC walishinda kuwa kundi bora la Hip Hop nchini Tanzania. Jay na HBC walitoa albamu ya kwanza iitwayo ‘Funaga Kazi' mwaka 2000 Albamu hiyo inaaminika kwamba ilileta mapinduzi makubwa sana ya muziki wa Hip Hop nchini Tanzania. Albamu hii yenye ujumbe mzito ina nyimbo kama ‘Chemsha Bongo' na ‘Mamsapu' ambazo zilichangia kufanya muziki wa ‘Bongo Flava' kuwa wa kila rika na kupewa heshima. Kabla ya hapo muziki huu ulionekana kuwa ni muziki wa wahuni.


Msanii Binafsi


Professor Jay aliamua kuwa msanii binafsi mnamo 2001 na muda mfupi baada ya hapo akatoa albamu yake ya kwanza iitwayo "Machozi Jasho na Damu". Albamu hii ilivuma haraka sana na kumfanya Prof. Jay kupata tuzo ya kuwa mtunzi bora wa Hip Hop nchini Tanzania kwa nyimbo yake ya ‘Ndio Mzee' kutoka kwenye albamu hiyo. na ikifuatiwa na Nyimbo ya "Piga Makofi na Bongo Dar es Salaam"
Mwaka 2003 Alitoa albamu ya pili iitwayo "Mapinduzi Halisi" ambayo nayo ilishinda tuzo ya Kili Music Awards kuwa albamu bora ya Muziki wa Hip Hop nchini Tanzania kwa mwaka 2003. Albamu hii imebebanNyimbo kama "Zali la Mentali", "Msinitenge," na "Promota Anabeep"
Mwaka 2006 Januari alitoa albamu ya tatu iliyoitwa "J.O.S.EP.P.H". Jina la albamu hii lilitokana na nyimbo iliyotoka Mwanzo kabla ya Albamu kutoka. Nyimbo hii ilichaguliwa kuwa nyimbo bora ya Bongo Flava kwenye BBC na Radio One Awards.
Mpya imewahi kuteuliwa kuwa ni albamu bora ya Hip Hop , Mtunzi bora wa nyimbo za Hip Hop, na Nyimbo bora ya Hip Hop ya mwaka kwenye Kili Music Awards. 2006."Nikusaidieje". na Baadae Kisima Music Awards ya Kenya ilikuwa Nyimbo bora ya Hip Hop na Video bora ya Hip Hop kutoka nchini Tanzania.
Tuzo Alizopata


  • 1 Kili Music Awards ( 2003 )
  • 2 BBC, Radio One Awards ( 2006 )
  • 3 Kili Music Awards ( 2006 )
Muhtasari wa Albamu


  • 1 Aluta Continua ( 2007 ) Ipo Njiani Kutolewa
  • 2 J.O.S.E.P.H. ( 2006 )
  • 3 Mapinduzi Halisi ( 2003 )
  • 4 Machozi Jasho na Damu ( 2001 )

Education
Standard IV



My take

Chadema mmekula garasha
sijui kama Prof Jay anajua hata kuandika au kutumia computer


LUSINDE KASOMA BSC IN COMPUTER au sio :crazy::crazy:
 
P jay bora aendelee kuimba lakini siasa hawezi sababu elimu yake ni sawa na darasa la saba kwa maisha ya siku hizi.Asifikiri kupata ubunge ni kazi ndogo,mwenzake MR SUGU kichwa kile.Asijidanganye sababu SUGU kapata ubunge basi na yeye atapata hizo ni day dreaming.Kaona muziki umemkataa anataka kukimbilia kwenye siasa aandike ameumia

Mbunge wa mikumi 2015-2020 ni prof jey. Acha kijiba cha roho nafikiri utajinyonga ukiwa unamuona pale mjengon.
 
P jay bora aendelee kuimba lakini siasa hawezi sababu elimu yake ni sawa na darasa la saba kwa maisha ya siku hizi.Asifikiri kupata ubunge ni kazi ndogo,mwenzake MR SUGU kichwa kile.Asijidanganye sababu SUGU kapata ubunge basi na yeye atapata hizo ni day dreaming.Kaona muziki umemkataa anataka kukimbilia kwenye siasa aandike ameumia

Vipi umeshamaliza kula matapishi yako?
 
Joseph Haule a.k.a Professor Jay (amezaliwa tar. 29 Desemba 1975) ni msanii wa muziki wa hip hop laini kutoka nchini Tanzania. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Professor Jay. Katika Tanzania, Prof. Jay anatazamika kama msanii aliyeweza kuwateka wazee waweze kusikiliza muziki wa Bongo Flava. Hasa kwa kibao alichofanya wakati yupo na kundi la Hard Blasters Crew ? Chemsha Bongo. Professor Jay anatokea kundi la Hard Blasters Crew. Kundi hili ni moja ya makundi yaliyofanya muziki huu ambao hujulikana kama ?muziki wa kizazi kipya? kukubaliwa na sehemu kubwa ya wa Tanzania.
Maisha ya muziki

Professor Jay alianza shughuli za muziki mnamo miaka ya 90 hivi na alijiunga na kundi la ?Hard Blasters Crew?(HBC) mnamo mwaka 1994. Mwaka 1995 Jay na HBC walishinda kuwa kundi bora la Hip Hop nchini Tanzania. Jay na HBC walitoa albamu ya kwanza iitwayo ?Funaga Kazi? mwaka 2000 Albamu hiyo inaaminika kwamba ilileta mapinduzi makubwa sana ya muziki wa Hip Hop nchini Tanzania. Albamu hii yenye ujumbe mzito ina nyimbo kama ?Chemsha Bongo? na ?Mamsapu? ambazo zilichangia kufanya muziki wa ?Bongo Flava? kuwa wa kila rika na kupewa heshima. Kabla ya hapo muziki huu ulionekana kuwa ni muziki wa wahuni.


Msanii Binafsi


Professor Jay aliamua kuwa msanii binafsi mnamo 2001 na muda mfupi baada ya hapo akatoa albamu yake ya kwanza iitwayo ?Machozi Jasho na Damu?. Albamu hii ilivuma haraka sana na kumfanya Prof. Jay kupata tuzo ya kuwa mtunzi bora wa Hip Hop nchini Tanzania kwa nyimbo yake ya ?Ndio Mzee? kutoka kwenye albamu hiyo. na ikifuatiwa na Nyimbo ya ?Piga Makofi na Bongo Dar es Salaam?
Mwaka 2003 Alitoa albamu ya pili iitwayo ?Mapinduzi Halisi? ambayo nayo ilishinda tuzo ya Kili Music Awards kuwa albamu bora ya Muziki wa Hip Hop nchini Tanzania kwa mwaka 2003. Albamu hii imebebanNyimbo kama ?Zali la Mentali?, ?Msinitenge,? na ?Promota Anabeep?
Mwaka 2006 Januari alitoa albamu ya tatu iliyoitwa ?J.O.S.EP.P.H?. Jina la albamu hii lilitokana na nyimbo iliyotoka Mwanzo kabla ya Albamu kutoka. Nyimbo hii ilichaguliwa kuwa nyimbo bora ya Bongo Flava kwenye BBC na Radio One Awards.
Mpya imewahi kuteuliwa kuwa ni albamu bora ya Hip Hop , Mtunzi bora wa nyimbo za Hip Hop, na Nyimbo bora ya Hip Hop ya mwaka kwenye Kili Music Awards. 2006.?Nikusaidieje?. na Baadae Kisima Music Awards ya Kenya ilikuwa Nyimbo bora ya Hip Hop na Video bora ya Hip Hop kutoka nchini Tanzania.
Tuzo Alizopata


  • 1 Kili Music Awards ( 2003 )
  • 2 BBC, Radio One Awards ( 2006 )
  • 3 Kili Music Awards ( 2006 )
Muhtasari wa Albamu


  • 1 Aluta Continua ( 2007 ) Ipo Njiani Kutolewa
  • 2 J.O.S.E.P.H. ( 2006 )
  • 3 Mapinduzi Halisi ( 2003 )
  • 4 Machozi Jasho na Damu ( 2001 )

Education
Standard IV



My take

Chadema mmekula garasha
sijui kama Prof Jay anajua hata kuandika au kutumia computer

Ataajiri watu wa kufanya kazi hizo.
 
Back
Top Bottom