menny terry
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 509
- 670
Wakuu kwanza natanguliza salamu then najua kwa wale wasomaji wa gazeti namba moja Tanzania kwa habari na uchambuzi makini. MWANAHALISI. nadhani hawa nilio wataja hapo juu si wageni machoni penu. Nikianza na kubenea ni jembe la ukweli la kujivunia Tanzania.
Ameweka maisha yake rehani kwa ile kiu ya haki iliyomo moyoni mwake. Hana tamaa ya fedha, Anauwezo mkubwa wa kujenga hoja na kuchambua vitu kwa undani.kondo na mwalugumbi nao wapo juu kwelikweli.Anae fahamu CV Zao naomba atujuze huenda tukapata ya kujifunza kwao.
Ahsanteni wakuu!