CV ya Saed Kubenea, Joster Mwalugumbi na Kondo Tutindaga

CV zao zitatusaidia nini nadhani kile wanacho-deliver kwa jamii ni zaidi ya CV,moyo wa kizalendo wa Kubenea ni zaidi ya cv.labda fafanua hoja yako imelenga nini,cv sio issue kwetu na kwa Tanzania cv hazijawasaidia wananchi.angalia viongozi wa serikali,wengi wana cv za nguvu lakini wamelifanyia nini taifa hili?

This is a real argument of a WEAK person, what do you fear for?
 
ukutaka cv ya karume ni mapinduzi ya zanzibar, ukitaka cv ya obasanjo ni kuludisha serkali kwenye mikono ya raia, cv ya sokoine vita dhidi ya wahujumu uchum , pia cv ya kawawa ni vita dhidi ya wajiri wazungu, cv ya kibaki kuiburuza kanu so ukitaka cv ya kubenea ni kusoma gazeti la mwanahalisi kila wiki , for me this gay kashalipa ghalama kamwagiwa tindikali nampenda hayuko bias so keep it on ma brother kubenea

Na sasa ameketi Meza moja na mafisadi kwa ajili ya dinner
 
Lkn jamaani, mtu amehitaji cv ya nini kumkashifu??, kuuliza cv ni mhimu, sehemu yoyote ukiomba kazi lazima uambatanishe na cv yako. Kama hakuna jibu ni bora kukaa kimya.
 
Nimewaelewa wakuu, ukiona humu JF wanakataa
kutoa ushirikiano wa kutoa CV ya mtu ujue huyo ni
kilaza. Wengi washataka CV za watu fulani na zikatolewa mapema sana.
Ukiona watu wanagoma ujue hakuna kitu hapo.
Asanteni sana kwa kuweka ukweli.
Said kubenea ni mngoni anakisiwa kuwa na miaka kati ya 30 hadi 40.Aliwahi kuwa mwalimu wa kiswahili kabla hajapata wazo la kuwa adui wa mafisadi.Kutokana na kisomo duni alichokuwa nacho alijiendeleza na kufanikiwa kupata diploma.Hana elimu ya kutisha wala nini ni.

Kubenea,
Elimu ya Sekondari Kidato cha Nne
Diploma
Mwandishi mwandamizi, Gazeti la Mwanahalisi

Kubenea ni tapeli tu aliwahi kufukuzwa kazi Rai na kushitakiwa kama sikosei kwenye baraza la vyombo vya habari ,kwa kuandika mahojiano ya uongo yaliyo mhusu Pius Ngeze wa Kagera(nafikiri alikuwa Mwenyekiti wa mkoa wa CCM) jamaa alijifanya amemhoji kumbe alitunga hiyo habari Mzee Ngeze akaja juu ikabidi akina Ulimwengu wamtimue .
 
hatuhitaji cv kwa wazalendo,
wanatakiwa kupiga kazi kwani wasomi wa nchi hii wameshindwa kulisaidia taifa pamoja na ma phd,dk ya ukweli.

Yaani wewe ni kilaza wa kutupwa.
Kungekuwa na kitufe cha 'hate' ningekupa
 
Kubenea ni tapeli tu aliwahi kufukuzwa kazi Rai na kushitakiwa kama sikosei kwenye baraza la vyombo vya habari ,kwa kuandika mahojiano ya uongo yaliyo mhusu Pius Ngeze wa Kagera(nafikiri alikuwa Mwenyekiti wa mkoa wa CCM) jamaa alijifanya amemhoji kumbe alitunga hiyo habari Mzee Ngeze akaja juu ikabidi akina Ulimwengu wamtimue .

Jambo la hatari sana.
Huu ni utapeli na udanganyifu wa hali ya juu.
Aisee
😠
 
wewe umetumwa na sisiemu eeh? acha upuuzi, cv zao ili iweje?

hatuhitaji cv kwa wazalendo,
wanatakiwa kupiga kazi kwani wasomi wa nchi hii wameshindwa kulisaidia taifa pamoja na ma phd,dk ya ukweli.

CV zao zitatusaidia nini nadhani kile wanacho-deliver kwa jamii ni zaidi ya CV,moyo wa kizalendo wa Kubenea ni zaidi ya cv.labda fafanua hoja yako imelenga nini,cv sio issue kwetu na kwa Tanzania cv hazijawasaidia wananchi.angalia viongozi wa serikali,wengi wana cv za nguvu lakini wamelifanyia nini taifa hili?

vp unataka kuanzisha gazeti au ndio majungu kama kawa?

CV zao zitakusaidia nini.

Ngome ya utetezi wa kibabe imejijenga ghafla.
Hicho mnachokificha tutakijua tu. CV yake hivi karibuni itakuwa kwenye mtandao wa bunge na hakuna siri tena.

Ukiona watu wanafanya hivi rejea ule msemo wa "debe tupu haliachi kutika".
 
ukutaka cv ya karume ni mapinduzi ya zanzibar, ukitaka cv ya obasanjo ni kuludisha serkali kwenye mikono ya raia, cv ya sokoine vita dhidi ya wahujumu uchum , pia cv ya kawawa ni vita dhidi ya wajiri wazungu, cv ya kibaki kuiburuza kanu so ukitaka cv ya kubenea ni kusoma gazeti la mwanahalisi kila wiki , for me this gay kashalipa ghalama kamwagiwa tindikali nampenda hayuko bias so keep it on ma brother kubenea

Hapo kwenye bluu unajua ulichoandika? Na kwenye nyeusi je?
 
Back
Top Bottom