menny terry
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 509
- 670
wakuu kwanza natanguliza salamu then najua kwa wale wasomaji wa gazeti namba moja tanzania kwa habari na uchambuzi makini. Mwanahalisi. Nadhani hawa nilio wataja hapo juu si wageni machoni penu. Nikianza na kubenea ni jembe la ukweli la kujivunia tanzania.
Ameweka maisha yake rehani kwa ile kiu ya haki iliyomo moyoni mwake. Hana tamaa ya fedha, anauwezo mkubwa wa kujenga hoja na kuchambua vitu kwa undani.kondo na mwalugumbi nao wapo juu kwelikweli.anae fahamu cv zao naomba atujuze huenda tukapata ya kujifunza kwao.
Ahsanteni wakuu!
menny terry, CV zao unazijua na ndio maana unaziulizia, waandishi majembe wako wangapi usiziulizie CV zao. Wewe unalako jambo, tafadhali nakuomba sana, usilianzishe, waache vijana wachape kazi!.Wakuu kwanza natanguliza salamu then najua kwa wale wasomaji wa gazeti namba moja Tanzania kwa habari na uchambuzi makini. MWANAHALISI. nadhani hawa nilio wataja hapo juu si wageni machoni penu. Nikianza na kubenea ni jembe la ukweli la kujivunia Tanzania.
Ameweka maisha yake rehani kwa ile kiu ya haki iliyomo moyoni mwake. Hana tamaa ya fedha, Anauwezo mkubwa wa kujenga hoja na kuchambua vitu kwa undani.kondo na mwalugumbi nao wapo juu kwelikweli.Anae fahamu CV Zao naomba atujuze huenda tukapata ya kujifunza kwao. Ahsanteni wakuu!
Mbona mmekuwa wakali,kama ipo si imwagwe jamvini.Kamuulize rostam nasikia kamnunua kubenea na mwanahalisi nafikiri atakua alilidhishwa na hiyo cv unayoitaka........
hatuhitaji cv kwa wazalendo,
wanatakiwa kupiga kazi kwani wasomi wa nchi hii wameshindwa kulisaidia taifa pamoja na ma phd,dk ya ukweli.
Unahitaji hizo CV kwa ajili ya kazi gani?
Kamuulize rostam nasikia kamnunua kubenea na mwanahalisi nafikiri atakua alilidhishwa na hiyo cv unayoitaka........
CV zao zitatusaidia nini nadhani kile wanacho-deliver kwa jamii ni zaidi ya CV,moyo wa kizalendo wa Kubenea ni zaidi ya cv.labda fafanua hoja yako imelenga nini,cv sio issue kwetu na kwa Tanzania cv hazijawasaidia wananchi.angalia viongozi wa serikali,wengi wana cv za nguvu lakini wamelifanyia nini taifa hili?
vp unataka kuanzisha gazeti au ndio majungu kama kawa?
tehe tehe! cv ipi mbona yote umeiweka wazi.
Yani hapa sahau CVCV zao zitakusaidia nini.
Kubenea ni tapeli tu aliwahi kufukuzwa kazi Rai na kushitakiwa kama sikosei kwenye baraza la vyombo vya habari ,kwa kuandika mahojiano ya uongo yaliyo mhusu Pius Ngeze wa Kagera(nafikiri alikuwa Mwenyekiti wa mkoa wa CCM) jamaa alijifanya amemhoji kumbe alitunga hiyo habari Mzee Ngeze akaja juu ikabidi akina Ulimwengu wamtimue .Wakuu kwanza natanguliza salamu then najua kwa wale wasomaji wa gazeti namba moja Tanzania kwa habari na uchambuzi makini. MWANAHALISI. nadhani hawa nilio wataja hapo juu si wageni machoni penu. Nikianza na kubenea ni jembe la ukweli la kujivunia Tanzania.
Ameweka maisha yake rehani kwa ile kiu ya haki iliyomo moyoni mwake. Hana tamaa ya fedha, Anauwezo mkubwa wa kujenga hoja na kuchambua vitu kwa undani.kondo na mwalugumbi nao wapo juu kwelikweli.Anae fahamu CV Zao naomba atujuze huenda tukapata ya kujifunza kwao.
Ahsanteni wakuu!