Cv ya saed kubenea..

Kim Kanye WEST hajambo?? naomba namba yako..
 
Said Kubenea yupo Holand, Ede Christian University anachukuwa course ya uandishi wa habari...ndoto zake ni kuwa muandishi wa Dr Slaa atakapochukuwa nchi.
Mkuu kwa nini CHADEMA,DR SLAA wakufanye uonekane mtu asiyekuwa na busara?hiyo ndiyo CV ya Kubenea,are you serious?shame upon you mkuu!
 

Kwa jinsi ulivyomalizia tu hapo chini hata huyo mtoto wako wa miaka kunmi anaewashangaaga uhuru ni ngumu kumshawishi kwamba wewe sio muumini wa chadema kwa chochote watakachokisema uko tayari kukitetea.Unawaponda uhuru lakini unawafagilia mwanahalisi na tanzania daima kwa kuwa yanamilikiwa na mkurugenzi wa fedha wa chadema na mwenyekiti wa chadema au?

Kweli kupanga ni kuchagua.
 
Tatizo letu tumewekeza kwenye makaratasi...kama mtu anafanya vizuri, ya nini kufuatilia CV yake? Au wewe umesoma sana? Acheni mambo ya kishamba hayo bwana...

Hii wameanzisha wafuasi wa chadema,kila wanaemuona anawachana live upande wa ccm wanaitisha cv yake,sasa umekua ni utamaduni wa humu jf kwa kuwa cdm wako wengi humu,sisi wengi tumeusdopt tu,na wala si dhambi kufanya hivyo
 
hata kama unadndika habari za mtu1 tu kama ni za ukweli ni vizuri sana ingawa gazeti la juzi kulikuwa hakuna habari za lowasa
 
Toa tangazo la kazi lenye mshahara mnono kwa taaluma yake utaipata, kwani kwa sasa hivi sababu yako ya kuitaka haijitoshelezi na haina msingi kabisa.
 

Well said. A lot of educated fools nowadays.
 
CV please,mbona za wengine huwa tunaziulizia,lengo ni kuhakiki kama ni kilaza au la,maana inawezekana ukawa mpiganaji lakini kilaza ni tu

hivi maana ya kilaza ni nini?

a. ni kutokujua kusoma na kuandika?
b. ni kutokujua kiingereza?
c, ni kutokuwa na elimu ya vidato na vyuo vya elimu ya juu hadi Phd?
 
hivi maana ya kilaza ni nini?

a. ni kutokujua kusoma na kuandika?
b. ni kutokujua kiingereza?
c, ni kutokuwa na elimu ya vidato na vyuo vya elimu ya juu hadi Phd?

hakuna jibu sahihi hapo juu, labda utupe mji
 
Wakuu nani anayo au anaijua cv ya mwanahabari nguli hapa Tanzania Bwana Saed Kubenea???

Naomba kama kuna mwenzetu mmoja humu ndani anayo ama anaweza kuipataatuwekee ili tumfahamu shujaa wetu huyu ni wa namna gani.

Nawasilisha.

Dada Kim Kardashian, kwakuwa kuna ugumu wa kuipata labda umsearch kwa FB kule lazima atakuwa kaweka info ambayo pia ni summary nzuri tu ya academic and work experience

Dada Kim Kardashian njia nyingine ni linked in.
 
Dada Kim Kardashian, kwakuwa kuna ugumu wa kuipata labda umsearch kwa FB kule lazima atakuwa kaweka info ambayo pia ni summary nzuri tu ya academic and work experience

Dada Kim Kardashian njia nyingine ni linked in.
Kaka/dada nsiande unaonaje ungtusaidia kuicopy then ukaipaste hapa,wengine hatuna utalaam sana wa mambo hayo mtandao ukiacha jf ambapo cv zote za watu mashuhuri huitishwa hapa na kuwekwa kasoro ya kubenea tu
 
hivi maana ya kilaza ni nini?

a. ni kutokujua kusoma na kuandika?
b. ni kutokujua kiingereza?
c, ni kutokuwa na elimu ya vidato na vyuo vya elimu ya juu hadi Phd?

Yote yanaweza kuwa majibu
 
huna nia nzuri na kubenea aidha umetumwa au una maelekezo yasio mazuri kwake .kajipange upya
 
Ukishaijua CV ya mtu inakusaidia nini hasa? CVinayoonyesha division one form four na firt class chuo kikuu inasaidia nini kama hakuna output yoyote? Elimu ya kukariri na si elimu ya kumuwezesha mtu kufikiri ndo mnatambiana nazo kwenye CV. Ujinga mtupu.
 
Ok labda niiweke hivi,basi tusaidie elimu yake ni ya kiwango gani maana tumesisimuliwa na uandishi wake uliotukuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…