eeeeh!
Tatizo letu tumewekeza kwenye makaratasi...kama mtu anafanya vizuri, ya nini kufuatilia CV yake? Au wewe umesoma sana? Acheni mambo ya kishamba hayo bwana...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
eeeeh!
Source pleaz!Said Kubenea yupo Holand, Ede Christian University anachukuwa course ya uandishi wa habari...ndoto zake ni kuwa muandishi wa Dr Slaa atakapochukuwa nchi.
Mkuu kwa nini CHADEMA,DR SLAA wakufanye uonekane mtu asiyekuwa na busara?hiyo ndiyo CV ya Kubenea,are you serious?shame upon you mkuu!Said Kubenea yupo Holand, Ede Christian University anachukuwa course ya uandishi wa habari...ndoto zake ni kuwa muandishi wa Dr Slaa atakapochukuwa nchi.
Kilaza to me ni yeyote mwenye tatizo la kuelewa au anayeonesha uelewa mdogo tofauti na elimu au nafasi yake katika jamii.....Huo ndio uelewa na ufahamu wangu nitumiapo neno hilo....i mean my definition....Kwamba sisi Chadema nakanusha mie sio CHADEMA ila nipo huru zaidi kutoa mawazo yangu ingawa nawakubali kwa mambo mengi kati ya vyama tulivyo navyo...hupati shida kusimama mahali kuwadefend...
Kwa hiyo sasa kama Nape anaongea ambayo hatukuyategemea kwa nafasi au elimu yake tutamwita hivyo na wengineo wote ...Ni sawa na waandishi na wahariri wa gazeti la uhuru/mzalendo....si kweli kwamba ukweli hawaujui ila tu kwa sababu ya kuchumia tumboni unakuta wanayoandika yanatia kichefu chefu na ni bahati mbaya huwa nasikiliza tu kwenye kipindi cha Morning Magic asubuhi lakini kila kitakachoandikwa ni ujinga ambao hata mwanangu wa miaka 10 huwa anacheka na kusema uhuru bana...sasa ndio shida mnazopata wote mnaoitetea CCM kwa kila kitu na huenda mkaendelea kuonekana vilaza kwani kuitetea CCM ni kazi kuliko kwenda kazini.
Tatizo letu tumewekeza kwenye makaratasi...kama mtu anafanya vizuri, ya nini kufuatilia CV yake? Au wewe umesoma sana? Acheni mambo ya kishamba hayo bwana...
Tatizo letu tumewekeza sana kwenye makaratasi badala ya performance....ndio maana tutazidi kupigwa bao kwenye soko la ajira za kimataifa.....CV yake ni kazi anayofanya na kama unamkubali ni shujaa hiyo ndiyo CV yake kwani wapo wanaoweza kuwa na elimu kubwa kuliko yeye lakini wakashindwa kufanya ayafanyayo....
CV please,mbona za wengine huwa tunaziulizia,lengo ni kuhakiki kama ni kilaza au la,maana inawezekana ukawa mpiganaji lakini kilaza ni tu
hivi maana ya kilaza ni nini?
a. ni kutokujua kusoma na kuandika?
b. ni kutokujua kiingereza?
c, ni kutokuwa na elimu ya vidato na vyuo vya elimu ya juu hadi Phd?
Wakuu nani anayo au anaijua cv ya mwanahabari nguli hapa Tanzania Bwana Saed Kubenea???
Naomba kama kuna mwenzetu mmoja humu ndani anayo ama anaweza kuipataatuwekee ili tumfahamu shujaa wetu huyu ni wa namna gani.
Nawasilisha.
Unataka punda au mlio wake ?
Kaka/dada nsiande unaonaje ungtusaidia kuicopy then ukaipaste hapa,wengine hatuna utalaam sana wa mambo hayo mtandao ukiacha jf ambapo cv zote za watu mashuhuri huitishwa hapa na kuwekwa kasoro ya kubenea tuDada Kim Kardashian, kwakuwa kuna ugumu wa kuipata labda umsearch kwa FB kule lazima atakuwa kaweka info ambayo pia ni summary nzuri tu ya academic and work experience
Dada Kim Kardashian njia nyingine ni linked in.
hivi maana ya kilaza ni nini?
a. ni kutokujua kusoma na kuandika?
b. ni kutokujua kiingereza?
c, ni kutokuwa na elimu ya vidato na vyuo vya elimu ya juu hadi Phd?
kwa sababu nimeitisha cv yake tu au kuna sababu nyingine?huna nia nzuri na kubenea aidha umetumwa au una maelekezo yasio mazuri kwake .kajipange upya
Ok labda niiweke hivi,basi tusaidie elimu yake ni ya kiwango gani maana tumesisimuliwa na uandishi wake uliotukukaUkishaijua CV ya mtu inakusaidia nini hasa? CVinayoonyesha division one form four na firt class chuo kikuu inasaidia nini kama hakuna output yoyote? Elimu ya kukariri na si elimu ya kumuwezesha mtu kufikiri ndo mnatambiana nazo kwenye CV. Ujinga mtupu.