Bila hivyo ungeingia hasara zaidi mkuuWadau, sikupata solution ya kutengeneza gia box hyo, so Nilibidi kununua nyingine nkaweka and the problem was solved. It run properly by this time ingawa fundi alie nitia hasara hii nimemuweka lock-up kidogo akili ikamkae sawa.View attachment 626113
mkuu nisaidie namba zako na mm nimepata tatizo kama lako kwenye gear boxBila hivyo ungeingia hasara zaidi mkuu
Mkuu ulipata solution,mkuu nisaidie namba zako na mm nimepata tatizo kama lako kwenye gear box
Una uhakika Hiyo Tiida inatumia Matic J fluid..?Mkuu ulipata solution,
Nmepata shida kama hii kwenye NISSAN TIIDA, kuna siku pipe ya hydrolic fluid imepasuka kubadili fundi akashauri tutie tyu ATF fluid zile za 7000, baada ya muda gari nkaona gear za kwenda mbele hazina nguvu sometime unakanyaga accelerator inaunguruma tyuu haiendi popote ila reverse inarudi safi tyuu, nkamwaga nkaweka matic J (recommended one), kinachotokea itatembea short distance then inaishiwa nguvu haisogei kabisa mbele, ikipoa inatembea.
Wakuu mwenye uelewa na hii fault.
Kama umeweka fluid tofauti na hii kwenye NISSAN TIIDA, nakupa pole mkuu...Mkuu ulipata solution,
Nmepata shida kama hii kwenye NISSAN TIIDA, kuna siku pipe ya hydrolic fluid imepasuka kubadili fundi akashauri tutie tyu ATF fluid zile za 7000, baada ya muda gari nkaona gear za kwenda mbele hazina nguvu sometime unakanyaga accelerator inaunguruma tyuu haiendi popote ila reverse inarudi safi tyuu, nkamwaga nkaweka matic J (recommended one), kinachotokea itatembea short distance then inaishiwa nguvu haisogei kabisa mbele, ikipoa inatembea.
Wakuu mwenye uelewa na hii fault.
Shukrani mkuu kwa ushauriUna uhakika Hiyo Tiida inatumia Matic J fluid..?
Kuna kitu hakijakaa sawa..
Hizo matic J ni za Nissan Xtrail ambayo inatumia automatic transmission ya kawaida..
Nissan tiida inatumia CVT na fluid yake ni CVT fluid NS 2...iko kwenye kopo la lita 4 inauzwa kati ya sh 120000 mpaka 140000 inategemea upo mkoa gani.
Kwa hizo fluid nasikitika kusema huenda umeshaua gear box.
Hapo nunua NS 2 dumu mbili, dumu la kwanza ufanyie flash na dumu na dumu la pili uweke....
Ikigoma tena utakuwa umeshaua gearbox
IM SORRY FOR THIS
Mimi nipo na Nissan Yenye CVT kwa miaka 6 na miezi 10 sasa...almost miaka 7 bila tatizo lolote la transmission.CVT transmission za Nissan ni pasua kichwa sana,poleni wahanga.
Wengi wanaumia japo wachache wenye bahati za kutosumbuliwa mpo,check kwenye forums tofauti tofauti kuhusu Nissan CVT issues. Kung'ang'ania CVT kume wapotezea Nissan/infinity market share kubwa USA/ulaya, ila kwa mara ya kwanza Nissan Pathfinder 2022 inakuja na 9 speed gearbox.Mimi nipo na Nissan Yenye CVT kwa miaka 6 na miezi 10 sasa...almost miaka 7 bila tatizo lolote la transmission.
Sasa wabongo gari la CVT wanaweka ATF za kawaida halafu wanasema gear box za Nissan kimeo..
Ukitaka Nissan ikudhalilishe, lete ujanja ujanja na ubahili wa spea..
JATCO cvt..[emoji26]Wengi wanaumia japo wachache wenye bahati za kutosumbuliwa mpo,check kwenye forums tofauti tofauti kuhusu Nissan CVT issues. Kung'ang'ania CVT kume wapotezea Nissan/infinity market share kubwa USA/ulaya, ila kwa mara ya kwanza Nissan Pathfinder 2022 inakuja na 9 speed gearbox.
JATCO CVT ni piece of shit,, Nissan wajinga yani wametoa Infinity compact CUV inatumia JATCO CVT. Ndiyo luxury brand pekee inatumia CVT kimeo,,bora hata Lexus za kwao ni in house made na wameziboresha sana.JATCO cvt..[emoji26]
Na kitu kingine kinachonishangaza hizi transmission za CVT kutoka JATCo, watu wengi sana duniani wamelalamika for a couple of years, lakini NISSAN MOTOR CORP wameweka pamba masikioni...JATCO CVT ni piece of shit,, Nissan wajinga yani wametoa Infinity compact CUV inatumia JATCO CVT. Ndiyo luxury brand pekee inatumia CVT kimeo,,bora hata Lexus za kwao ni in house made na wameziboresha sana.
Weka mkuu nasubiri hapaPole sana ngoja nitarudi kuelekeza nini huwa kinatokea unapokosea kuweka ATF hydraulic kwenye CVT transmission na unatakiwa kufanyaje ili kusolve tatizo.
Pole kw janga,
Ulivosema kw maelezo yako pale mwanzo, tatizo lilisababishwa na mafuta yasiofaa, ATF kabla ya CVTF! ILA, mlipo kua mkibadilisha kuweka yaliofaa, mlisahau kua kuna mafuta mengi yaliobaki mle ndani kwa torque converter na pia cooler pale kwa radiator. Haya ndio yanayosumbua sasa, the best way woulda been to flush through- yaani kujaza mafuta na kungurumisha engine na kuyamwaga mafuta kutoka kwa return pipe!!!
Mcheki jamaa jitu la miraba minne from magomeni atamaliza inshu Yako chap sanaWadau nahitaji kupata msaada wa fundi mzuri wa CVT gear box..nipo dsm, kigamboni, namba yangu (0719058458) nina vitz new modal yenye injini 2SZ-FE, yenye CVT gear box, ( gear selector ina P, R, N, D, B) sasa hii gari nimepatwa na tabu kwenye transmission system, na limeanza baada ya kubadili transmission fluid.
Gari inatumia transmission fluid aina ya CVT-TC, wakat wa kufanya service nilikuta fundi kaisha fanya kazi kamaliza nkaja kulichukua na kuondoka, nimetembea km 1600 nkaanza kuona gafla gari inakua inishiwa nguvu, unashangaa injini inaunguluma kwa nguvu ila mwendo mdogo na gia zinashndwa kupanda kwenda 3, mpaka 4, au inaishia gia numba 1, ila ukiweka reverse gari inarudi nyuma poa, ila mbele majanga.
Katika kutafuta tatizo, nkagundua fundi aliweka ATF transmission fluid badala ya CVT-TC, ndo nkabidi ni flush oil yote ya gia box.. Fungua sampl, toa filter pamoja na chesi, vyote vikasafishwa. Ila baada ya kuflush nkaweka fluid original ya gari (cvt-tc) but maajabu bado gari imeendelea na ugonjwa uleule wa kushindwa kushift gear smoothly and with power. Wadau kuna anaweza nipa way foward?
Nitafutah kupata solution.
Hiyo gear box inatakiwa mpya tena kwa umbali uliotembelea huo unatosha kabisa kuikaanga na kuiharibu.Wadau nahitaji kupata msaada wa fundi mzuri wa CVT gear box..nipo dsm, kigamboni, namba yangu (0719058458) nina vitz new modal yenye injini 2SZ-FE, yenye CVT gear box, ( gear selector ina P, R, N, D, B) sasa hii gari nimepatwa na tabu kwenye transmission system, na limeanza baada ya kubadili transmission fluid.
Gari inatumia transmission fluid aina ya CVT-TC, wakat wa kufanya service nilikuta fundi kaisha fanya kazi kamaliza nkaja kulichukua na kuondoka, nimetembea km 1600 nkaanza kuona gafla gari inakua inishiwa nguvu, unashangaa injini inaunguluma kwa nguvu ila mwendo mdogo na gia zinashndwa kupanda kwenda 3, mpaka 4, au inaishia gia numba 1, ila ukiweka reverse gari inarudi nyuma poa, ila mbele majanga.
Katika kutafuta tatizo, nkagundua fundi aliweka ATF transmission fluid badala ya CVT-TC, ndo nkabidi ni flush oil yote ya gia box.. Fungua sampl, toa filter pamoja na chesi, vyote vikasafishwa. Ila baada ya kuflush nkaweka fluid original ya gari (cvt-tc) but maajabu bado gari imeendelea na ugonjwa uleule wa kushindwa kushift gear smoothly and with power. Wadau kuna anaweza nipa way foward?
Nitafutah kupata solution.
Hakuna fundi atarekebisha hiyo kitu watapoteza muda tu na gharama. Amuachie huyo fundi hiyo gearbox mbovu apambane nayo, yeye adai fidia anunuliwe mpya afunge atumie gari yake.Aisee nimeona ukubwa wa tatizo lako ngoja nikusaidie kutafuta wajuzi
Gear box ya CVT haina clutch.Hili tatizo lilinifanya nikatumia hela nyingi sana bila mafanikio,hatimae nikanunua gearbox nyingine,
Unapo engage gear inakuwa kama inataka kuruka,inashtuka kumbe ndani clutch zote zilikuwa zimeungua kasoro rivasi tu,niliingia hasara za kununua cvt oil mara 3 ili kuisafisha bila mafanikio, hapo na fundi lazima akununulishe pump mpaka nikajilaumu kwa nini nisingefanya uamuzi wa kununua gearbox nyingine,
Hivyo basi kwa ushauri wangu ni bora ununue gearbox kupunguza hasara mkuu