anti-Glazer
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 291
- 482
Cwt ni chama Cha walimu nchini Tanzania.
Hakifanyi jambo lolote zaidi ya kuvuna asilimia mbili ya mishahara ya walimu.
Mei mosi ndio siku pekee ya tamko Kwa waajiri wote kusitisha makato ya 2% Hadi hapo suala hili litakapoangaliwa upya.
Juzi hapa waliokuwa viongozi was Cwt walipata uteuzi was mhe. Rais na wakajiondoa Kwa kukataa teuzi Ile. Ni nini kimejificha myuma ya pazia?
Je serikali inanufaika na Nini zaidi ya kushusha molare ya mwalim kuendelea kufundisha!? Kwa Nini serikali inaonekana kukumbatia chama haramu kama hiki.?
Waajiri wametishiwa kuruhusu walimu kujiunga na vyama vingine?
Kuna Nini kimejificha? Ni muda muagaka kutoa hukumu kwaa huyu kupe mnyonya damunza watu.
Zamani cwt kupe huyu alitumia mwanya wa kuanzisha benki, benk ikaanza na inafanyakazi. Vitegauchumi vikaanza KAZI hakuna taarifa huku kupe huyu mnyonyaji akiendelea kuvuna 2% ya mishahara ya walimu.
2% ni pesa nyingi sana. Ni Bora hiyo asimilia mbili ielekezwe katika mambo ya maana badala ya kuwaachia kikundi cha wakila. Kama Marais wa nchi mnatendelea kuwaachia Hawa wapuuz waendelee kula jasho la maskini. Hamtaishi Kwa amani. Magufuli alilinyamazia alikuwa akijua sababu ya kukaa kimya
Aliwashughulikia matajiri, wafanyabiashara, vyeti feki, mafisadi akawaacha mafisadi was cwt. Aliondoka na laana take. Mkapa, nk
Mzee kikwete aliwajali sana watumishi waalim ni awamu iliyotoa kipaombele kudeal na inflation at least kila mwaka alionyesha kumjali maskin.
Ni wakati wako mama rais samia kuondoa huyu mdudu Cwt. Hakubakili, hakuna mwanachama hata mmoja Leo umuulize akatetea Cwt ibaki.
Ni lazima mei mosi ijulikane na