CWT mpya inawezekana

CWT mpya inawezekana

MWALIMU DAIMA

Senior Member
Joined
Mar 4, 2023
Posts
129
Reaction score
263
Naombeni muongozo wakuu ni pitr njia zipi, Na ndoto kuwa siku moja nije kuwa rais wa chama Cha walimu Tanzania.
Bado nipo chuo mwaka wa pili nasoma bachelor of science with education.

Vipaumbele takapo kuwa rahisi wa CWT apo mwaka 2040
01. Pambana nyongeza za mishahara kwa walimu.
02. Huduma za usafiri Bure kwa walimu, yaani kutakuwa na vituo maalumu kwa ajiri ya walimu.
03. Walimu kutoa mtu mmoja kama mwakilishi bungeni.
04. Kuboresha mazingira ya kufundisha.
05. Nyumba za walimu.
06. Benki imara ya walimu.

Ni Mimi mwalimu mtarajiwa
 
Kwanza nakupa pole kwa kusomea hiyo kazi ngumu, na inayo dharauliwa mpaka na wale wananchi failures wa kila kitu katika jamii!

Pili unatakiwa kufahamu fika hiyo CWT ni tawi la ccm! Hivyo inatumiwa na hiyo ccm miaka nenda kuwaibia walimu pesa zao kupitia 2% ya ada ya uanachama kila mwezi.

Na fedha hiyo hutumiwa na viongozi wa hiyo CWT kugawana posho kwenye vikao vyao vya kipiuzi, na kiasi kinachobakia huwasaidia ccm kwa siri nyakati za uchaguzi mkuu ili kununulia kofia, tshirt, vitenge, viremba, nk vya kuwahongea wananchi wasio na elimu ya uraia.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom