CWT oneni aiibu

CWT oneni aiibu

Joined
Mar 31, 2020
Posts
67
Reaction score
59
Baada ya serikali yetu pendwa kushusha kodi kwa watumishi wake wakiwemo waalimu na kuanza kufaidi ni mda sasa chama cha waalimu kutekeleza majukumu yake kwa wanachama kushusha makato mpaka 1%.

Tunawapa miezi mitatu kuanzia leo mwezi wa nane, bila hivyo tutaitisha maandamano ya kisheria nchi zima kuwashinikiza watoke au sisi tujitoe kwenye lichama lao.

Simiyu tuna mkakati wa kuanzisha chama letu.
 
Ninakushanga unasema wapunguze Makati Kwa 1%? Inatakiwa iondolewe kutoka 2% Hadi 0% kwaniwamechota fedha za walimu miaka yote isitoashe wameanzisha bank ambayo hata haina faida kwa wanachama wake.lile jengo la mwalimu house pia linawaingizia fedha Sasa Makati yafutwe yote walimu wameibiwa vya kutosha.wamejinunulia magari used nchi nzima Sasa yameanza kuharibika na kugharimu mamilion ya fedha na wanategemea fedha za walimu kuyakarabati.
 
Hill li chama la hovyo sana Mh Rais sijajua kwanini amelikalia kimya
 
Inatakiwa kama 500 ibaki 500 moja ya sababu ya kutaka mishahara ipande ni mapato ya vyama kupanda
 
Baada ya serikali yetu pendwa kushusha kodi kwa watumishi wake wakiwemo waalimu na kuanza kufaidi ni mda sasa chama cha waalimu kutekeleza majukumu yake kwa wanachama kushusha makato mpaka 1%.

Tunawapa miezi mitatu kuanzia leo mwezi wa nane, bila hivyo tutaitisha maandamano ya kisheria nchi zima kuwashinikiza watoke au sisi tujitoe kwenye lichama lao.

Simiyu tuna mkakati wa kuanzisha chama letu.
Wanakata shingapi kwani.
 
Back
Top Bottom