CWT tunasikiliza mtusemee

CWT tunasikiliza mtusemee

Mr Mayunga

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
313
Reaction score
40
Nyie ni chombo chetu,tukumbushieni kwenye serikali haya ya fuatayo
.Gharama za maisha zimepanda kwa ujumla wake.
.Walimu tulioka vijijini tunaishi katika mazingira ambayo hayana umeme,huduma za maji ni za hali ya chini,afya duni n.k
.Pia,mazingira yakufanyia kazi mashuleni kwetu ni duni mno.
Kwahiyo,kutokana na hayo na mengineyo,
-serikali haina budi kuongeza au kuboresha maslahi ya walimu/watumishi,ili waweze kukabiliana na mazingira ambayo ni magumu.
 
Kuwa mpole serikali imeanza kwa kuboresha maisha ya mawaziri wezi kwakutokuwawajibisha kwanza alafu zamu yenu itakuja baada ya miaka siyo mingi sana ni kama 50 tu kama mtaendelea kutuacha serikali sikivu ya ccm, kidumu chama cha mapinduzi.......
 
Ni CCM kwel...
 
Tusubir uchaguz utawaona wakijipitisha,wakidai wanatutetea!Ovyoooo...
 
Back
Top Bottom