CWT wameishiwa ubunifu, Mei Mosi kuvaa sare inayoendana na ya TLP

Katika hili,hekima yako imepungua.
I have reasons
1. Walio wengi walimu ni "failures" academically, sijawahi kumuona mtu wa Div 1 amemaliza form 4/6 kaenda ualimu, hivyo kwao kuwa pale ni favour, hawawezi kupigania haki zao maana wanajua hata kuwa kwenye ualimu ni favour
2. Kwa mtu kama huyo kupigana haki zake ni ngumu maana anajua mapungufu yake.
3. Mishahara yao ni midogo, hivyo mtu hana muda wa kutetea haki zao , anaona afdhali atumie muda kujiongezea kipato
4. Wengi wako vijijin ambako wanachofanya ni ulevi na "kuoa"........ wamekuwa damped kuozea huko.......


5 Nitaongezea baadaye
 
90% ya wafanyakazi wote serikalini ni walimu ama wa kufundisha ama wa kupitia kama daraja
 
....mmm, Hoja yako no Fikirishi, Mkuu!

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Wapo wengi tu Wana div1,wanachukua education pale chang'ombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…