Wakati mwaka ndio kwanza umepinduka, hali ya mwalimu bado ni tete. Ahadi walizopewa na mwajiri hazijatekelezwa.
Sasa viongozi wa CWT wilaya wanafanya ziara ili kurudisha imani na matumaini kwa wanachama wao kwamba mambo yatakuwa mazuri muda siomrefu.
Kwa ufupi maswali wanayoulizwa wanashindwa kujibu kabisa. Yaani kifupi wamebanwa kila Kona:
1. Serekali imetunisha misuli katika kufuata Hali za waajiriwa
2. CHAKAHUWATA wanazidi kuwachomoa wanachama wao Kwa kuweka makato kidogo.
Yaani chai moto kikombe moto!!