Cyanide

Cyanide ni normal consumable kwenye modern mining ni kweli ina madhara sana kama haitakuwa handled vizuri!! Si kitu cha ajabu sana kwa hiyo kusiwe na upotoshaji katika hili.. Hii bidhaa ina fall kwenye category ya highly controlled goods kwasababu inaweza kutumika kutengenezea biological weapons.. Kwa hapa Tanzania inatumika sana tu kwani ni modern way ya kuchenjua dhahabu ambayo iko efficient than mercury ambayo ilikuwa inaacha some gold ktk tope..
 

Normal consumable na wakati huohuo iko kwenye category ya highly controlled goods????!!!!!

Efficiency yake isifanywe sababu ya kuchukulia poa madhara hasa kwa uzembe ambao umeshawaathiri wananchi wengi wakati wa matumizi ya mercury
 
hapa kila anayechangia anayesoma huu uzi lazima ajue kajitowa muanga wakufuatiliwa kuliko maelezo, labda ndiyo utakuwa umepata mwanga wa uhatari wa unachokitafuta.
 
hapa kila anayechangia anayesoma huu uzi lazima ajue kajitowa muanga wakufuatiliwa kuliko maelezo, labda ndiyo utakuwa umepata mwanga wa uhatari wa unachokitafuta.

Ah ah ah! husitishe watu mkuu! imekuwa enriched uranium? Yes ni danger bali inatumika tu, ila tukiweka uzembe wetu wa mambo kama kawa! majuto yatatukumba na dalili zipo tayari!
 
Hiyo siyo cyanide mkuu!cyanide ni zaidi ya hatari!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Mkuu,
Naijua Cyanide, ninayo experience ya plant za ABG, nashughulika pia na gold cyanidation eneo la Makongolosi wilayani Chunya. Ninenacho nauhakika.
Hiyo imported Cyanide iliyoingizwa mpaka Mwanza last week imeenda kuuzwa Geita, nachowahakikishia cyanide inaingizwa via bus na kuuzwa. Hata pale Morogoro ipo sana inapatikana kwa wadau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…