Cyanide ni normal consumable kwenye modern mining ni kweli ina madhara sana kama haitakuwa handled vizuri!! Si kitu cha ajabu sana kwa hiyo kusiwe na upotoshaji katika hili.. Hii bidhaa ina fall kwenye category ya highly controlled goods kwasababu inaweza kutumika kutengenezea biological weapons.. Kwa hapa Tanzania inatumika sana tu kwani ni modern way ya kuchenjua dhahabu ambayo iko efficient than mercury ambayo ilikuwa inaacha some gold ktk tope..