Wadau nina ndoto ya siku za hivi karibuni kufungua cyber cafe(internet cafe),malengo yangu ni kuanza na compyuta tano.
Ningependa kujua ili kuanziasha cafe hiyo ninahitajika kuwa na vitu gani(ukiondoa kompyuta,fenicha and fittings) ili nianze kuoparate,na inaweza kugharimu kiasi?
Naomba msaada kwa wenye utaalamu na hii kitu.Ahsanteni
unahitaji kuwa na good location yenye movement kubwa ya watu, unahitaji kuwa na printer hasa laser jet printer for printing black and white, na desk jet mabayo pia imeungana na scanner kwa ajili ya coloured maana watu wengi uja caf'e kwa ajili ya kuprint documents from emails au internet baada ya kuziona via internet za simu zao. Kuna rooter kwa ajiil ya internet nakushauri tumia wireless rooter ambayo una plug in modem halafu unaunga computer zako via ethenet kwa kuwa internet ya ttcl siku hizi siyo realiable bora ukatumia njia hiyo maana ttcl inaweza katika hata siku mbili na kila week lazima siku moja au mbili internet yao isumbue.
unaweza ukaongeza hata lamination mashine, photocopy maana wengine wakisha print wanataka kudurufu karatasi, usisahau vifaa kama stapler, punching machine, n.k
cost inategemea ukinunua mpaka photocopy itachezea million nane lakini kama waanza kidogo kidogo bila hotocopy hata million 5 si vibaya.
thanx mkuu elmagnifico,hiyo wireless connection inakua offered na nani?
hiyo rooter unaweza tumia mtandao wowote kwa kuwa unaweka line kwenye modem ndiyo una iplug kwenye hiyo rooter, mfano kwangu mimi uwa natumia voda nanunua bundle ya mwezi au week, ikisumbua naamia tigo kwa hiyo mimi kwangu internet haikatiki ttcl wasumbufu.

elma ashaeleza kila kitu. ngoja nikazie.muhimu sana location nzuri .pia jitaid uweke na flash. headphones etc za kuuza.
mim na uzoefu kwa ili.
mafanikio mema ukiwa na swali uliza.
pamoja.
sasa mkuu hiyo ukiunganisha kwenye wireless haiwezi ikatumiwa na intruders?vp spidi yake itakuaje?halafu pia hiyo kuunganisha wireless inagharimu kama kiasi gani mkuu?
Wadau nina ndoto ya siku za hivi karibuni kufungua cyber cafe(internet cafe),malengo yangu ni kuanza na compyuta tano.
Ningependa kujua ili kuanziasha cafe hiyo ninahitajika kuwa na vitu gani(ukiondoa kompyuta,fenicha and fittings) ili nianze kuoparate,na inaweza kugharimu kiasi?
Naomba msaada kwa wenye utaalamu na hii kitu.Ahsanteni
hiyo rooter ina sehemu ya kuunga pc kwa ethenet na pia ina supply wireless internet. Unaweza weka password kwenye hiyo wireless internet hivyo mtu haiwezi itumia bila kujua password. Kwa internet ukiwa na pc kama 8 kb 600 si mbaya ili mradi usiruhusu downloading na video streaming. Nakumbuka mwanzo nilikuwa na pc 5 na nilinunua tccl poa ambayo wanakupa kb250/sec na ilikuwa poa tu.
labda niulize kwanini uliacha biashara hii mkuu
mkuu inaonekana una uzoefu na biashara hii,hiyo rooter na hizo ethenet inagharimu kiasi gani kwa makisio?
Mkuu ni story ndefu ila kama mkuu elmagnifico alivyogusia inabidi ISP awe reliable mimi nilitumia TTCL waliniumiza vibaya.
pia kuanzia july mwaka huu bei zimepanda. hivo kwa bei ya kawaida nusu saa ni 1000 na saa moja ni 1500.
pia siku hiz biashara si nzuri sana sana sana ukiwa eneo bovu. ambalo alina mzunguko wa watu.wanafunz etc
teknolojia ya simu kuwa na internet na gharama kushuka zinaua biashara
hivo kama nilivyokwambia apo mwanzo jitaid kuweka na huduma nyingine ambazo nilizisema.
cha kuongezea jitaid ujue kuweka ant virus. programs na window ili wakija wateja wanaoitaj hizo huduma uwawekee kwenye laptop au pc zao.
usifanye internet pekee yake. pamoja