Wambandwa
JF-Expert Member
- Dec 3, 2006
- 2,249
- 832
Kuanzia kesho, haki yangu ya msingi ya kujieleza hisia zangu na kuhabarisha wengine inafungwa minyororo.
Nasikia hata ukigundua wizi kama ule wa Epa na Escrow ukiumwaga hapa ni kosa la jinai. Nia na makusudi CCM waendelee kuiba na ukitoa riporti ni kifungo.
Walaaniwe wooote waliopeleka sheria yoyote kwa hati ya dharura pamoja na aliyeisaini. Laana iwashukie hadi siku wakifa waendelee kuona watu wanavyofurahia vifo vyao.