inspectorbenja
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 597
- 651
Nifanye nn sasaBlock pia itakua iliathirika
Wadau habari,nina kagari kangu ka vitz old model.Kumbukeni mimi ni kabwela nimejichanga changa tu japo na mm nipate kausafiri.Sasa kalikuwa na leakage..
Hapo ni kuuza thu iyo gar. ,,Je unauza bei gan ..me nikanunue mswaki niwekeWadau habari,nina kagari kangu ka vitz old model.Kumbukeni mimi ni kabwela nimejichanga changa tu japo na mm nipate kausafiri.Sasa kalikuwa na leakage,fundi akafungua cylinder head akatibu leakage akafunga.Baada ya hapo kakawa kanazima zima mguu usipokuwa kwenye accelerator.Nikakarudisha kwa fundi,akafungua,akakuta cylinder head gasket imeungua.Akabadilisha,akakawasha kakaunguruma kidogo,kakawa kana kanachanganya compresion.Akafungua cylinder head tena.Kakuta gasket imeungua.Akabadilisha tena akapiga pasi cylinder head.Akafunga,akawasha,imeungua tena.Wadau naombeni msaada.Shuda iyakuwq ni nini hapa
Huuzi hiyo gari mzeeWadau habari, nina kagari kangu ka vitz old model.Kumbukeni mimi ni kabwela nimejichanga changa tu japo na mm nipate kausafiri.
Sasa kalikuwa na leakage, fundi akafungua cylinder head akatibu leakage akafunga. Baada ya hapo kakawa kanazima zima mguu usipokuwa kwenye accelerator. Nikakarudisha kwa fundi, akafungua, akakuta cylinder head gasket imeungua. Akabadilisha, akakawasha kakaunguruma kidogo, kakawa kana kanachanganya compresion. Akafungua cylinder head tena. Kakuta gasket imeungua. Akabadilisha tena akapiga pasi cylinder head. Akafunga, akawasha, imeungua tena. Wadau naombeni msaada. Shida itakuwa ni nini hapa.
Msaada wanajamvi
Upo serious tuongee biasharaHapo ni kuuza thu iyo gar. ,,Je unauza bei gan ..me nikanunue mswaki niweke
Umenunua Kwa Bei Gani Mkuu?MREJESHO.
Tumeweka gasket ya chuma،ilikuwa ni nyeusinalafu ina mikunjo badalanya gasket ya asubestus.Tunewasha،haijachemsha wala kuchanganya compression.Tumeitest kwa muda،kesho tuyaitest tena.Ntawapa mrejesho.
Yah nipo serious mzeeUpo serious tuongee biashara
Watanzania Bwana kwani kipaombele Cha Kila Mtu ni Nyumba??It seems gari umeinunua bei rahisi sana. Dah!
Kuna mzee alinihusia akaniambia 'kijana, ukitaka kuendelea wekeza kwenye nyumba, siyo magari'. Mfano, hela yako ungenunulia kiwanja, then baadaye ukiwa na hela nzuri unanunua gari nzuri.
Ila sasa hiyo nzuri nayo si itaharibika tu! Cheap is expensive!