Cynthia Masasi kwenye video ya Ace Hood

Cynthia Masasi kwenye video ya Ace Hood

Cynthia Masasi niliyemjua mimi ametulia, labda America iwe imembadilisha (hata hivyo sidhani)...ila alipokuwa Bongo alikuwa na tabia nzuri kabisa...yaani wife material.

Anajitahidi sana kujiinua, alipotoka ni mbali na amepiga hatua kubwa...nina uhakika tutamsikia sana kwa mema na mafanikio miaka ijayo. Mungu amtangulie.

SOUNDS LIKE YOU ARE A SIMP

end of story
 
Riziki kwa kuwa video girl na "low end" escort services?! hiyo ni riziki au laana?

Inatakiwa atafute kazi, wal mart, mc donalds au popote pale na ajipatie riziki kwa njia zinazoeleweka na sio u-groupe...LOL.

Mike Jones a.k.a Mike Jones.

Wee naona sasa unakuwa huna sela sijui unaongea nini?...yaani unarudi kule kule tulipotoka duuh!...inaelekea una habit ya u-slownessy kama Mike Jones mwenyewe...no doubt ukaitwa Mike jones....

cheerz dude!
 
Ooh don't get me wrong mama i am an independent woman and i am definetely very focused!....I just like to defend my sistah's you know...everytime a sistah is trying to do something major wanaume lazima watatia neno kama siyo malaya basi they will eventual talk negativity out of it..don't get me wrong kuna some civilized men's they don't care what a woman want or do as long as she does respect herself and don't mean to harm anybody...well i cool with that too!..

only malaya????!!! every human being having a spouse or sexual partner is malaya. Unless you say she is single and ready to mingle.

By the way sizitaki mbichi hizi ipo kwa wanoknok.
 
I don't know where you wanna go with this. Either way, nakuomba uache. Definition ya groupie inaeleweka, kama unajambo jingine don't hesitate to bring it forth tutajadili. Am out.

Definition: GROUPIE

encarta.msn.com/dictionary

An enthusiastic fan of a pop group, especially a female teenager seeking a sexual relationship with the object of her adulation

urbandictionary.com

A young woman, often under age, who seeks to achieve status by having sex with rock musicians, roadies, security, and other band-related guys.

en.wikipedia.org/wiki/Groupie

A groupie is a person who seeks sexual and/or emotional intimacy with a celebrity.

Sasa, SteveD, ungependa kufuta kauli zako kwa mlengwa ?
 
only malaya????!!! every human being having a spouse or sexual partner is malaya. Unless you say she is single and ready to mingle.

By the way sizitaki mbichi hizi ipo kwa wanoknok.

Mmh that is deep!...having a partner like involving in sexual activities ni Umalaya?...wooooo! taht's major for really!
 
Never mind when someone calls you malaya while he/she is, and especially when you trully are. It is not an insult, take it easy.
 
SIMP as Strongly Interacting Massive Particle????

nop

you need to be street wise to understand the word

Simp means Guy that claims they are players/pimps. But when they are with a girl they spend their money on them, their time on them tell them they love em. But the bitch is playing them!!

In otherwords PIMBI FULANI ambalo liko tayari to go all out kumuonyesha demu how emotional he is and yes spends shit loads of money on her
 
Hahahahaha!...thats classic slang.
 
Kelly1,

Muulize rafiki kama ashalipa zile $$3000 toka kwa yule dada wa Tokyo....ni nanilii, dhulmati na tapeli pia huyu Cynthia. Last time I checked, alikuwa hata simu apokei za kudaiwa hizi pesa! SHAME.

Mike Jones a.k.a Mike Jones.

Acha fiksi wewe....
 
Never mind when someone calls you malaya while he/she is, and especially when you trully are. It is not an insult, take it easy.

I take that as a compliment...just like a bad bitch uh!...
 
Kelly1,

Muulize rafiki kama ashalipa zile $$3000 toka kwa yule dada wa Tokyo....ni nanilii, dhulmati na tapeli pia huyu Cynthia. Last time I checked, alikuwa hata simu apokei za kudaiwa hizi pesa! SHAME.

Mike Jones a.k.a Mike Jones.

Mtaanza sana rumours mmh mmeshamuita groupie sasa mnaingiza mambo ya utapeli wa hela...cynthia hana tabia ya utapeli...sasa sijui next mtasema nini yooooooooooh!....$$$3,000 itampeleka wapi?
 
Nani ampakazie bana!? huo ni ukweli kamchikichia dada wa watu mnyamwezi buku tatu, akawa anapigiwa simu miyeyu kibao...mwisho wa siku hata simu apokei tena!!

Kama unabisha wewe si rafiki yako, muulize basi juu ya pesa za "Mluguru" wa Tokyo.

Hmajui mtu yeyote anayetoka Tokyo waa hana ndugu anaishi Tokyo..ana rafiki yake mmoja tuu anaitwa Miriam Odemba yupo China...huyo Mluguru wako wa Tokyo hebu muulize vizuri atakuwa anamfananisha labda...Hivi Una nini wewe Mike JOnes jamani eeeh unampakazia mwenzio.
 
Hamna mie simpakaziii wala nini! hii ni true story, nimpakazie ili nipate faida gani!? tena basi ilikuwa ni mkopo, ilipofika wakati wa kulipa Cynthia akala kona...anajifanya mjanja kumwingiza mwenzake tauni.

mwambie alipe mnyamwezi wa watu, dada wa watu wa Tokyo ana lalamika kichizi yaani.

Mike Jones a.k.a Mike Jones.

Kwani huyo dada anafanya world bank hadi anatoa mikopo?wee utamuamini vipi mtu kumpa $3,000 wakati upo Toyko sijui eeh that is a lie i don't buy that bs for really...Kwanza huyo mlugulu wako ana vithibitisho vyovyote kuwa alimkopa Cynthia pesa?...Anyways hata ingekuwa wewe upo hapa marekani usingeniamini mimi nikakwambianikope that kind of money you knw what i am saying?
 
Definition: GROUPIE

encarta.msn.com/dictionary

An enthusiastic fan of a pop group, especially a female teenager seeking a sexual relationship with the object of her adulation

urbandictionary.com

A young woman, often under age, who seeks to achieve status by having sex with rock musicians, roadies, security, and other band-related guys.

en.wikipedia.org/wiki/Groupie

A groupie is a person who seeks sexual and/or emotional intimacy with a celebrity.

Sasa, SteveD, ungependa kufuta kauli zako kwa mlengwa ?

Definitions namba 2 kutoka groupie definition - Dictionary - MSN Encarta ndiyo imetumika. Na ukae kwa amani.
 
Hiyo definition hii hapa: 2. enthusiastic fan: an enthusiastic fan or supporter of something.

Sasa kama ulikuwa humaanishi "msichana wa kugawia ngono watu maarufu," tueleze basi kuna ubaya gani kuwa mshabiki ? Kwa nini useme unaombea yeye asiwe mshabiki ?

Unasema nibaki na amani na kwamba unaomba nisiende huko, well, ni wewe ndio umezua sokomoko!

Batilisha kauli yako au elezea ubaya wa yeye kuwa mshabiki wa msanii fulani kama ulikuwa humaanishi "msichana mgawa ngono wa wanaume maarufu."
 
Hapa unamuonea Steve, kwa vile hiyo term ilikuwa ni tata huna haki ya kuchagua definition unayoitaka kwamba ndio alivyomaanisha yeye. Yeye kashaeleza alichomaanisha full stop
 
Hiyo definition hii hapa: 2. enthusiastic fan: an enthusiastic fan or supporter of something.

Sasa kama ulikuwa humaanishi "msichana wa kugawia ngono watu maarufu," tueleze basi kuna ubaya gani kuwa mshabiki ? Kwa nini useme unaombea yeye asiwe mshabiki ?

Unasema nibaki na amani na kwamba unaomba nisiende huko, well, ni wewe ndio umezua sokomoko!

Batilisha kauli yako au elezea ubaya wa yeye kuwa mshabiki wa msanii fulani kama ulikuwa humaanishi "msichana mgawa ngono wa wanaume maarufu."

Kuhani,
Narudia. Na ukae kwa amani.

SteveD.
 
Loh! taratibu faza usije ukamsababishia akose usingiz bure.....

Steve, na wewe comeback yako inaweza ikawa ile vurumai ya Dokta Masau....(hey i'm just lookin' out for ya)..lol
 
Back
Top Bottom