GE2025 Cyprian Musiba: Ndani ya CCM lazima wawepo wanaokosoa, hamuwezi wote kuwa Chawa

GE2025 Cyprian Musiba: Ndani ya CCM lazima wawepo wanaokosoa, hamuwezi wote kuwa Chawa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mwanaharakati huru, Cyprian Musiba, akizungumza kupitia Jambo TV amesema, "Ndani ya Chama Cha Mapinduzi lazima kuwe na Wanakosa, hamuwezi wote kuwa Chawa, sasa kitakuwa ni Chama hicho? Kwamba asilimia 99 uwe Chawa wewe ndio uwe Chama Cha Mapinduzi?
 
Nasikia amekatwa kichwa huko Jimboni Mwibara
 
Inaonekana ukiacha tu kuchukua hela za CCM na ule moshi wa Mwenge kichwani unafutika,akili inarudi ghafla
 
Back
Top Bottom