Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Yeyote anayefikiri kuwa machawa wa mama yao na waunga mkono uchawa ni watetezi wa ulaji, atakuwa anafikiri sawa sawa, na akili yake ipo vyema, tofauti na hapo, ni marehemu wa akili.Watu wakitokea nje wanacheza vzr
Kibao Kimegeuka.....Mwanaharakati HuruMwanaharakati huru, Cyprian Musiba, akizungumza kupitia Jambo TV amesema, "Ndani ya Chama Cha Mapinduzi lazima kuwe na Wanakosa, hamuwezi wote kuwa Chawa, sasa kitakuwa ni Chama hicho? Kwamba asilimia 99 uwe Chawa wewe ndio uwe Chama Cha Mapinduzi?
View attachment 3426340
Ni nyakati ngumu sana. Walimuonya lakini......Amtegemeaye Mwanadamu.....Kuna wakati musiba anapatia