Pre GE2025 Cyprian Musiba: Polepole, Bashiru warudishwe kupambana na CHADEMA ya Lissu

Pre GE2025 Cyprian Musiba: Polepole, Bashiru warudishwe kupambana na CHADEMA ya Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Hao Ni Magarasa Ya Mav* Ya Mbuzi Hayana Msaada Tena Kwenye Siasa Za Sasa Hivi
 
Huyu jamaa ni genius, kwakifupi anasema Samia, Nchimbi, Makala ni mafisadi. Yani kamatukana ki Cuba.

Halafu kashauri balozi wa Cuba ndiyo aje, maana yake kama umesomea bongo huwezi elewa.
 
Mtahangaika sana,ndio maana mlikomaa Mbowe asiondoke,sasa mmekwisha
 
Kwani hao Bashiru na Polepole walikuwa wanapambana na Wapinzani kwa hoja, au kiburi cha madaraka cha Magufuli. Chini ya Magufuli na hawa kina Polepole ndio tulishuhidia ccm ya kipuuzi sana kwenye box la kura. Mtu mjinga tu ndio anaweza kuwarejesha hao wapuuzi waliofaidika na uhuni wa Magufuli.
 
Back
Top Bottom