Cyprian Musiba amekishauri Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwarudisha wanachama wake wenye nguvu ambao wanaweza kupambana na ajenda zitakazokuwa zinaibuliwa na wapinzani kutokana na ingizo la uongozi mpya wa CHADEMA ukiongozwa na Tundu Lissu.
Kwani hao Bashiru na Polepole walikuwa wanapambana na Wapinzani kwa hoja, au kiburi cha madaraka cha Magufuli. Chini ya Magufuli na hawa kina Polepole ndio tulishuhidia ccm ya kipuuzi sana kwenye box la kura. Mtu mjinga tu ndio anaweza kuwarejesha hao wapuuzi waliofaidika na uhuni wa Magufuli.