D.B. Cooper: Tukio halisi la kusisimua lililogeuka hadithi ya 'Alfu lela ulela'


Sasa wote mkisema kwa sababu za kijamii hamuweki wazi na kesi yenyewe ishafungwa kuna madhara gani kuzisema hizo sababu maana hazina madhara tena? Nvojua mie hata majasusi wakubwa duniani wana muda fulani wa kutunza siri za mission fulani fulani, hii kitu ya Cooper imepitwa na wakati, acheni kuficha ficha basi wekeni wazi mambo yote sio kusema sababu za kijamii. Mdau The bold Napenda kujua wazo lako la kwann alidai hela ambazo anajua zingejua marked
 
Ukiambiwa mbinu zote wahalifu wataongezeka kama unataka kujua zaidi mfuate the bold hatasita kukujuza tu
 
Pesa za Cooper hazikurudi kwenye mzunguko wa matumizi ya kawaida kwa sababu jamaa hakuzitumia ndani ya marekani, ikumbukwe fbi walijaribu kufuatilia matumizi hayo ndani ya marekani na hawajasema sehemu nyingine duniani. Kingine ni kwamba ndani ya briefcase ya Cooper, kuliwekwa nyenzo nyingine kwa ajili ya kurahisisha utuaji salama ambazo kwa makusudi kabisa hakumwonesha Schaffner. Baada ya kutua aliteketeza kwa moto vifaa vyote ikiwemo parachute.
 
Bw. Carr hakuelezea haya ama ujazia nyama
 
sasa kama mimi ndio mwalifu mwenyewe na nikamfata akanijuza si yatakua mambo yale yale, mkuu unafikiri uhalifu unazuiwa hapa Forum??
Usihofu kuhusu vitisho vya magaidi maana vitisho ni moja ya defensive yao kwahiyo ukiogopa kwao ni ushindi the bold hakutaka malumbano we hayo yasikukwaze mfuate ukajazie palipo pelea mkuu
 
Dah, Asante sana mkuu! Yaani wakati Alex Mahone akiwa kule Utah pale petrostation yule muhudumu alipomuuliza "people still asking about this guy" nikahisi tu kwa kuuliza kule hii itakua ni truestory! Umenifumbua macho sana!

By the way mzee Charles Westmoreland aliuvaa uhusika wa D.B Cooper vizuri sana! Wenzetu wametuacha mbali sana kwenye utengenezaji wa filamu.
 
Mkuu ukisoma sehem tofauti tofauti utaambiwa kuwa FBI walituma taarifa interpol na msako wa zile hela ulikua worldwide pia serial no baadae zilikuja kuwekwa hadharani ili ikitokea mtu yeyote akiziona atoe taarifa na dau la pesa lilitangazwa
 
Salute mkuu nakupa kongole [emoji109]

Umetisha mkuu.

The Bold una kipaji. Endelea kuleta vitu tafadhali usiache

Nashukuru sana wakuu! Nitajitahidi niendelee kushusha mastori mengine zaidi..
 
Kama marubani wa ndege za escort hawakuweza kuliona tukio la kwanza kabisa la kufunguliwa mlango wa ndege, sishangai kutokumuona cooper akiruka.

Pia tunaambiwa fighter zilikuwa juu na chini ya ndege.kwa akili za kawaida kabisa hapa mtu akitoka ndani ya ndege lazima awe kama katupwa kwa speed kuelekea nyuma, huwezi kumuona kwa mtindo huu walioutumia kupanga ndege zao.

KUHUSU ALITUA VIP HAPA NDIO PA KUANZIA.

kwa mwendo ambao ndege inatembea masaa zaidi ya matatu ni kazi sana kuswip kutafuta ushahidi.tena kwa mtu ambaye alijua kwamba atatafutwa, akitua na parachute ilimlazimu alicheezee likamshushe mbali kabisaa makumi ya miles kwa urefu kutoka juu futi 10000, unaweza ona jinsi alivyokuwa na nafasi ya kwenda mbali zaidi.siamini kama alikuwa na parachute moja hasa kwenye briefcase.

BAADA YA KUTUA SASA.
Sijaamini sana kama walifanikiwa 100% kudhibiti hizi pesa, ukizingatia inatumika nchi nyingi tu na inaweza ingizwa nchi nyingine kwa namna tofauti tofauti.
 
huyu jamaa inawezekana hata hizo parachute aliziagiza tu kuwadanganya,but alikua na ya kwake very special kwa kutimiza lengo
 
Divine..., glory to yhwh, Nifah, BansenBurner, Alisen, Papushikashi, Magazine Fire, miss chagga, succinate coA hydrogenase, SANCTUS ANACLETUS, mngony, Excel, Mussolin5, Jimena, Inferiority Complex, gwijimimi, wambura marwa, Hoshea, Shareef Conscious,
Asante kwa tag
Asante kwa story ya kusisimua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…