Afande Nyati
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,385
- 1,414
Amen!! Nashukuru sana mkuu..Mkuu the bold, pamoja na utamu wa story zako naomba nitoe shukrani za dhati kwa kuniongezea kitu. Jana nilikuwa mitaa ya home huku nikajaribu kuwapa raia hii story kwa uchache conclusion yao ilikuwa moja tu Cooper alikuwa jini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila la msingi zaidi nimependa sana hekima zako na jinsi unavyoweza kuwajibu wale wanaotaka kujifanya wanajua zaid. Katika hili niseme tu kuna hekima kubwa sana umenifunza hasa ya kukubali kushindwa pasi na ulazima wa kushindana. Mungu akubariki na akupe uwezo zaidi.
Hahahahaa hawataki kabisa kukubali kwa circumstance iliyokuwepo kwamba cooper ni binaadamu wa kawaida. Nimejitahid kuwaaminisha ila jibu ni moja tu majini yanakuja kwa njia tofauti.Amen!! Nashukuru sana mkuu..
Hao raia wanaosema Cooper alikuwa jini wametisha sana aisee hahahahaha
Chief mtu akikosea na hajui uki quote inaleta madhara gani na ashaomba msamaha unaaja gani ya kuendelea kulaumu kama mtoto wakike shout up manKulikuwa na haja gani ya kuquote thread nzima?
Hii ni moja ya kero kubwa jamiiforum
Poa mkuu ngoja [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] nikapate mauhondoMkuu nenda kwenye profile yangu alafu angalia orodha ya thread nilizoandika, pekua pekua thread nilizoandika mwaka 2014 utaziona tu hizo ninazozingumzia!! Kuweka link hapa naona kama naweza kurudisha tena attention ya watu kwenye zile mambo hahahhah
Kwameh unajua unachefua na unataka watu wapewe BAN humu jamvini
Hapana, hatuna standard hiyo, hatuna utaratibu wa kumwambia mtu kalete stori yako, ya kwangu inyamazie, nooooh way! Hatufukuzi maoni hapa. Kwenye Instagram na Snapchat yako unaweza ukam block mtu asikufate fate. Hatutaki jamvi liishie kuwa la feeble minds.kwanini na wewe usilete story yako ya filamu ambayo si fiction na tuichambue
D. B. Cooper story is not a fiction, vitabu vyote unavyovisema ni true story, zina facts of the event pamoja na analysis za mwandishi, na inajulikana fika kipi cha ukweli kipi mawazo ya kichwani ya mwandishi. Hawajaongeza vichorombwezo vyao kunogesha stori. Huwezi kusema Boing 727 hairuki zaidi ya 10,000ft ndio maana Cooper aliichagua, si kweli, huna leseni kama ya mtunga fiction.ni vitabu vingapi vimetungwa kuhusu hili tukio wakati wewe unasema unalijua kuwa ni la kweli.
Simulizi za The Soft, pardon the typo, The Bold, ambazo hazinihusu ni zile ana post kwenye Facebook pages zake, ukibandika kitu hapa kimepinda watu watakukosoa, ukibisha watakuchana! Be bold, komaa kimawazo, mbona mimi natukanwa kwa kuwa na opinion tofauti lakini silii lii kwa wenye jamvi wam ban mtu?The bold akiongezea ww hayakuhusu
That is exactly my point, hakuna stori duniani ambayo haina critics, both fictional and non-fictional.unaposema hii story haikosolewi ndipo napokudharau na kuchefua nakuomba tu unyamaze kwani juzi tu lilikuwepo Kongamano la kuchambua huu ukweli ingawa FBI walishalifunga
Sijamzuia The so-called Bold kuendelea kutuburudisha, yeye mwenyewe kabadili mada, ameniandikia mwimbo wa mjini anasema "hatutoi kiksi, usi fosi tufanane..." Mwenye thread mwenyewe kabadili topic, kaandika taarab... Hahahaaaaaalabda nikuombe acha malumbano ya kitoto mwache The Bold aendelee kuburudisha
Achana na huyo jamaa. Kwanza hana lugha ya kistaarabu. Kutumia neno' huku tunapokaa abiria' ni lugha ya kujiskia kutaka kutuonesha kuwa anapanda sana hizo ndege.Kwameh am done arguing with you bro! Toka juzi uunaleta ulalamishi wa mambo hayo hayo, nakujibu kesho yake unaibuka tena na hoja zile zile.. Kama umeisoma story nashukuru, kama umeinjoy nafurahi kama hujaenjoy nakushauri anzisha Uzi wako isimulie vile unaona itapendeza zaidi! Nitakuja kuisoma, nitalike na kucomment.. Nimefunga huo mjadala
Haiwezekani ndege kuboreshwa.Pia kulalamikia kiwango cha m10000 kwani haiwezekani kuwa huenda wakati huo hicho ndio kilikuwa kiwango cha juu cha urukaji wa ndege hizo na kwasasa zimeboreshwa?
Kwani mnatumia vifaa gani kuingia jf, mbona mnalalamika hivyo!? Kwangu hata u quote thread nzima comment inakua fupi labda niamue mwenyewe kui expand!duh we jamaa! Hivi hujiulizi kabisa unapo-quote thread nzima na kujibu kwa neno moja ina maana hujui ni kitu gani kinawapata wasomaji wengine?
TchnoKwani mnatumia vifaa gani kuingia jf, mbona mnalalamika hivyo!? Kwangu hata u quote thread nzima comment inakua fupi labda niamue mwenyewe kui expand!
Ukitumia simu kupitia intanet ya bure ya airtel au tigo, JF inakuwa tofauti kidogo.Kwani mnatumia vifaa gani kuingia jf, mbona mnalalamika hivyo!? Kwangu hata u quote thread nzima comment inakua fupi labda niamue mwenyewe kui expand!
Mkuu! Wewe jitahidi tu usiquote uzi wote, inaleta usumbufu mkubwa sanaKwani mnatumia vifaa gani kuingia jf, mbona mnalalamika hivyo!? Kwangu hata u quote thread nzima comment inakua fupi labda niamue mwenyewe kui expand!
Nimekusoma mkuu! Ni kweli kabisa..Achana na huyo jamaa. Kwanza hana lugha ya kistaarabu. Kutumia neno' huku tunapokaa abiria' ni lugha ya kujiskia kutaka kutuonesha kuwa anapanda sana hizo ndege.
Pia kulalamikia kiwango cha m10000 kwani haiwezekani kuwa huenda wakati huo hicho ndio kilikuwa kiwango cha juu cha urukaji wa ndege hizo na kwasasa zimeboreshwa?
Pia tayari ulishamjibu kuwa umeelezea kwa uelewa wako,sasa kama ye anaelewa vingine si aanzishe uzi wake!!?
Nakushukuru sana mkuu!Kaka The Bold ahsante kwa uchambuzi mzuri wa tukio, hakika umebarikiwa kitumie vizuri kipaji chako. Utakapo kuja na story nyingine, Mkuu tafadhali naomba uniite.
Napenda watu kama wewe wanao tambua mantiki za lugha.
Expected Value
umetumia kigezo gani kufanya valuation ya pesa ya mwaka 1971 na miaka 45 mbele??nakuelewa, which means ilikuwa ni mchoro wa watu wote wale waliobaki kwenye ndege (ma pilot, engineer, flight attendant) na Cooper aliyeshuka airport Washington Takoma.
Tatizo na hiyo theory at least to me ni kwamba ina watu wengi mno. Dola laki 2 alizopewa gawanya kwa watu watano ni $40,000. Ambayo kwa hela ya leo ni kama $ 230,000 kila mmoja.
Hicho kiasi hakijazidi sana mshahara wa pilot. Sasa kwa nini ma pilot wahatarishe career yao (na maisha yao pia) kwa kufanya ujambazi mgumu namna hiyo?