Kwameh unajua unachefua na unataka watu wapewe BAN humu jamvini
But why tupewe ban?
Why the censorship? Tumemtukana nani? Au kwa kuwa na opinion? Hivi kwa nini tunawekeana udikteta wenyewe kwa wenyewe kwa kuwa na mawazo?
Tujifunze, Watanzania, kupokea na kuvumilia mawazo ya mtu yeyote. Wanasema "the highest result of education is tolerance," kama huwezi kustahimili ninachokisema niruke, usiniombee ban, haya mambo ya free expression hayataki hasira!
kwanini na wewe usilete story yako ya filamu ambayo si fiction na tuichambue
Hapana, hatuna standard hiyo, hatuna utaratibu wa kumwambia mtu kalete stori yako, ya kwangu inyamazie, nooooh way! Hatufukuzi maoni hapa. Kwenye Instagram na Snapchat yako unaweza ukam block mtu asikufate fate. Hatutaki jamvi liishie kuwa la feeble minds.
ni vitabu vingapi vimetungwa kuhusu hili tukio wakati wewe unasema unalijua kuwa ni la kweli.
D. B. Cooper story is not a fiction, vitabu vyote unavyovisema ni true story, zina facts of the event pamoja na analysis za mwandishi, na inajulikana fika kipi cha ukweli kipi mawazo ya kichwani ya mwandishi. Hawajaongeza vichorombwezo vyao kunogesha stori. Huwezi kusema Boing 727 hairuki zaidi ya 10,000ft ndio maana Cooper aliichagua, si kweli, huna leseni kama ya mtunga fiction.
The bold akiongezea ww hayakuhusu
Simulizi za The Soft, pardon the typo, The Bold, ambazo hazinihusu ni zile ana post kwenye Facebook pages zake, ukibandika kitu hapa kimepinda watu watakukosoa, ukibisha watakuchana! Be bold, komaa kimawazo, mbona mimi natukanwa kwa kuwa na opinion tofauti lakini silii lii kwa wenye jamvi wam ban mtu?
unaposema hii story haikosolewi ndipo napokudharau na kuchefua nakuomba tu unyamaze kwani juzi tu lilikuwepo Kongamano la kuchambua huu ukweli ingawa FBI walishalifunga
That is exactly my point, hakuna stori duniani ambayo haina critics, both fictional and non-fictional.
Fictionals zinakosolewa utamu wa hadithi, aina ya uandishi, ukaribu wake na uhalisia au uwezekano wa vitu hivyo kutokea maishani n.k. Non-fictional inachambuliwa kuona kama umeandika ukweli wa tukio na pia analysis ya facts zilizotolewa. Huna creative license ya kuongeza mambo yako kama vile ni facts, ukiandika non-fiction ukaongeza ya kwako lazima utaliwa nyama!
labda nikuombe acha malumbano ya kitoto mwache The Bold aendelee kuburudisha
Sijamzuia The so-called Bold kuendelea kutuburudisha, yeye mwenyewe kabadili mada, ameniandikia mwimbo wa mjini anasema "hatutoi kiksi, usi fosi tufanane..." Mwenye thread mwenyewe kabadili topic, kaandika taarab... Hahahaaaaaa
Well, here is the take home. Huwezi kusema Cooper alichagua Boeing 727 kwa sababu ndio ndege pekee duniani ambayo unaweza kuiendesha kutokea upande wa abiria! I mean, nimekuwepo JF toka 2007, huwezi kusema kitu kama hicho hapa ukabaki salama, we hapa mgeni ?