babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,643
- 3,301
level gan hizo mkuu,hazina majina??Kuna level fulani za kijasusi ukifikia ili ijulikane kama umeiva kweli inabidi ufanye practical na hizo ndio practical zenyewe hakua jambazi huyo bali alikua kazini tu.
weka historia yake wengine hatuijui mkuuhuyu John Delinger ndio haswaaaaa alowafanya hata wakaanzisha hiyo FBI
Unajisikijae kuquote uzi wote.? ...kwani ukireply tu comment yako bila kuquote haionekani..?The db cooper case was a hoax by the fbi yall dnt kno dar
Nilisha consider adjustment for inflation kwenye bandiko hilo hilo, hukuona? Bado sio pesa nyingi kihivyo.ilikuwa 1971,adjust na inflation leo ni inakuwa hela nyingi sana
Well, hata economic historians hawakubaliani jinsi rahisi au uhakika ya kuthaminisha hela za miaka tofauti. Lakini ugumu hauzuii kujaribu.umetumia kigezo gani kufanya valuation ya pesa ya mwaka 1971 na miaka 45 mbele??
Punguza kiherehere mkuu...naona uzi umekua wako ss aiseeNilisha consider adjustment for inflation kwenye bandiko hilo hilo, hukuona? Bado sio pesa nyingi kihivyo.
Well, sijui uchumi lakini hata economic historians hawakubaliani jinsi rahisi au uhakika ya kuthaminisha hela za miaka tofauti. Lakini ugumu hauzuii kujaribu.
Kuna vikokotozi mbali mbali vya mfumuko wa bei (infation calculators) kutoa walau picha ya wastani, mojawapo maarufu ni kutumia Consumer Price Index. Kwamba je, ungehitaji shilingi ngapi leo kununua sahani ya Mama Ntilie ambayo mwaka 1971 tulikula kwa shilingi 1? Jibu lake kwa leo buku jelo, buku mbili.
Kwa Marekani nimetumia Inflation Calculator inayotumia Consumer Prive Index ya Idara ya Kazi na Takwimu, US Bureau of Labor and Statistics. Nikapata hela ya Cooper $200,000 ni sawa na kama $1.2M kwa leo.
Ndo nikasema mshahara wa pilot wa Marekani haupishani sana na hela ambayo wa kina Cooper, ma pilot na flight attendants wangegawana. Bado hatujaongelea FBI waliokula njama kama wapo. I mean, sidhani kama wange risk career zao, maisha yao, kukamatwa (criminals wanajua mkiwa wengi mnaongeza risks za kuisha). Hailipi, sidhani kama ni njama.
hahahahaaaa.... wow!Punguza kiherehere mkuu...naona uzi umekua wako ss aisee
Hakuna mwenye hasira...mawazo yangu yalisha komaa kitambo sana, sio kila anaekuambia ufanye yako hajui lengo lako..au unafikiri ni wewe tu ndio unaejua ndege inavo fanya kazi..?. .tunajua vipi inafanya kazi ila tumekaa kimya ...unaonaje ukianzisha uzi wako unaopinga iki kilichoandikwa na The bold...?hahahahaaaa.... wow!
Nina viherehere kwenye discussions? Jamani haya mambo hayataki hasira!
Anyhow, lazima nikukomaze kimawazo wewe, hujazoe spirited discussions, unataka mtu aingize vichorombwezo vyake kwenye vitu technical halafu apeteshwe. I mean, mambo ya aviation thermodynamics ni too technical to mislead people about.
Ndege ina controliwa manually kutokea viti vya nyuma, Jesus Christ! I mean, give me a friggin break! Ndio maana Cooper aliichagua kwa sababu Boeing 727 abiria na sisi tuna input, tuna maamuzi kwenye spidi na altitude ya ndege, tena "manually," sio kutoa opinion kwa pilot, abiria tuna power "manually." Huwezi kusema kitu outlandish namna hiyo ukabaki salama!
Ndo maana!Tchno
Hivyoo! Poleni Sana Wakuu!Ukitumia simu kupitia intanet ya bure ya airtel au tigo, JF inakuwa tofauti kidogo.
Mtu akiquote thread ndefu, itakulazimu uipitie yote tena.
Hata ukiwa "home" ID yako inaonekana kabisa ambapo ukitumia njia ya kawaida, badala ya ID, itaonekana alama ya profile.
Tunapolalamika kuwa wanao-quote thread nzima wanatuumiza, ujue tunatumia hiyo version.
Nashukuru sana mkuu! Bila shaka kabisa nitakutag next time nikiweka uzi mwingine..Mkuu umetisha ...usisahau kunistua/tag itapoendelea...samahani lakini
Story nyingi za aina hii huletwa humu kwa kutumia lugha ya Malkia..... by the way mtoa mada, Umetafasiri kwa Kiswahili sanifu kabisa! Big up!!!
Hahahahah! AiseeeTumsubiri tena sasa hivi atarudi kuja kukosoa
Kwameh kwanza nakataa hukuwepo JF tangu 2007 kwani JG haina utaratibu wa kumkosoa ai kumsahihisha mleta Mada ni utaratibu kumtua mleta Mada kuliko Jukwaa lipoe hii ni kwa ninyi wageni mnaoshindwa kutafuta Mada mpya.But why tupewe ban?
D. B. Cooper story is not a fiction, vitabu vyote unavyovisema ni true story, zina facts of the event pamoja na analysis za mwandishi, na inajulikana fika kipi cha ukweli kipi mawazo ya kichwani ya mwandishi. Hawajaongeza vichorombwezo vyao kunogesha stori. Huwezi kusema Boing 727 hairuki zaidi ya 10,000ft ndio maana Cooper aliichagua, si kweli, huna leseni kama ya mtunga fiction.
Huwezi kusema Cooper alichagua Boeing 727 kwa sababu ndio ndege pekee duniani ambayo unaweza kuiendesha kutokea upande wa abiria! I mean,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] utashangaa magari yote ya washa washa watayaleta kuzunguka ilo Basi la mwendo Kasi ila kumpa jamaa laki hawatakiHahahah! Wewe jaribu mwendokasi moja hata ukidemand upewe laki tu ndio uiachie, Siro anakukazia hawakupi..