D I T : Boreshen Huduma zenu MNABOA

RobyMi

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2012
Posts
848
Reaction score
863
D I T ni chuo kikubwa sana Tanzania .. ni chuo Ambacho kinajulikana kila pande ya nchi kwa sifa yake kubwa ya kuzalisha Waandisi wa FanI mbali mbali .. Ilo sipingani nalo maana kina lecturels wazur sana .. shida iliyopo pale kwanza mfumo wao wa Uandikishwaji wanafunzi bado ni mbovu mpaka sa iv .. Tulitegemea Chuo kikubwa kama D I T chenye wahandis wa kila aina kingekua ni mfano wa kuigwa katika mfumo mzima wa kuandikisha wanafunzi kwa njia ya teknolojia .. lakin bado mpaka sa iv mwanafunzi anaandikishwa kwenye makaratas .. mwanafunzi mmoja anaandikishwa kwa mda wa mpaka siku tatu .. rekebishen
Tukirud Kwenye Malazi .. nafikir DIT mnaongoza kwa kuwa na Hostel Kidogo , Hali 'duni na Chafu kuliko za CHUO kingine chochote Tanzania ..Fuateni mfano wa Vyuo vingine vya Uhandisi kama cha kwenu Muige mfano .. Mi kwa leo nna hayo tu .. ila nauhakika kuna wengine mna mengi mmeyaona kuhusu chuo hiki zaid ya haya nliyotaja ... Wizara Husika Tupieni sasa Jicho lenu kwenye Hiki chuo ... SIO KWA SABABU KIMESHAPATA JINA BASI NA NYIE ndo MKIGEUZIE MGONGO ... !
 
Mkuu siku nyingine usiwe unatype kifesibuku humu by the way wahusika watakusia kama wana masikio sikivu.
 
Si bora cha teknolojia ni gharama. Njoo uone kile ambacho kinaitwa KUPANGA NI KUCHAGUA, wanafundisha kupanga lakini wao kama chuo hawajui kupanga chuo kimejengwa mbali na mji tunategemea watakuwa nw eneo kubwa ila wapi aibu tupu hata uwanja wa mpira tu hawana
 
Wenyewe wanajifanya wasela kisa chuo cha ma engineer, mpaka walimu masela,ntaenda mwakani labda naweza kuwabadilisha aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…