D I T ni chuo kikubwa sana Tanzania .. ni chuo Ambacho kinajulikana kila pande ya nchi kwa sifa yake kubwa ya kuzalisha Waandisi wa FanI mbali mbali .. Ilo sipingani nalo maana kina lecturels wazur sana .. shida iliyopo pale kwanza mfumo wao wa Uandikishwaji wanafunzi bado ni mbovu mpaka sa iv .. Tulitegemea Chuo kikubwa kama D I T chenye wahandis wa kila aina kingekua ni mfano wa kuigwa katika mfumo mzima wa kuandikisha wanafunzi kwa njia ya teknolojia .. lakin bado mpaka sa iv mwanafunzi anaandikishwa kwenye makaratas .. mwanafunzi mmoja anaandikishwa kwa mda wa mpaka siku tatu .. rekebishen
Tukirud Kwenye Malazi .. nafikir DIT mnaongoza kwa kuwa na Hostel Kidogo , Hali 'duni na Chafu kuliko za CHUO kingine chochote Tanzania ..Fuateni mfano wa Vyuo vingine vya Uhandisi kama cha kwenu Muige mfano .. Mi kwa leo nna hayo tu .. ila nauhakika kuna wengine mna mengi mmeyaona kuhusu chuo hiki zaid ya haya nliyotaja ... Wizara Husika Tupieni sasa Jicho lenu kwenye Hiki chuo ... SIO KWA SABABU KIMESHAPATA JINA BASI NA NYIE ndo MKIGEUZIE MGONGO ... !