Haya ndo mambo tunaweza kufatilia kwa ufanisi.![]()
Trump's 'awkward' interaction with 'beautiful' reporter
Trump's 'awkward' interaction with 'beautiful' reporter Source: The White Housewww.yahoo.com
Haya ndo mambo tunaweza kufatilia kwa ufanisi.
Kazi kubwa ilifanywa na Malcom X na Martin Luther king Jr.haujasikiliza huyo beautiful alichosema? kwamba she is the only afrikan reporter in the white house kwa bara zima la afrika hivyo anapigia chapio afrika kwamba reporters wengine waruhusiwe pia, hilo siyo jema plus she is beautiful …
Truelkn hao ni wamarekani, na usa ina reporters wengi huko white house wakati bara zima la afrika kuna reporter mmoja tu, huyo beautiful …
DuuuhHaya ndo mambo tunaweza kufatilia kwa ufanisi.
Mtoa mada angeanza na hilo la chapuo ya upekee/ubaguzi. Badala yake ameanza na beautifulnesshaujasikiliza huyo beautiful alichosema? kwamba she is the only afrikan reporter in the white house kwa bara zima la afrika hivyo anapigia chapio afrika kwamba reporters wengine waruhusiwe pia, hilo siyo jema plus she is beautiful …
Huyu ni Beatiful with brain Yule ni tako bila ubongo.😂😂Je angepelekewa Sanchi au yule Malaika, si ndiyo angepagawa
Aangalie wanawake wa Trump ni model hawana makalioHuyu ni Beatiful with brain Yule ni tako bila ubongo.😂😂
Huyo Trump aendeleze domo kwenye twitter, ataweza wapi speed ya huyo mwanamke. Yeye endelea kupapasa kwa Melania TrumpTramp anajisogezea minofu kwake!!!! Kazi na dawa!!
Nadhani ni sahihi tukifanya tunayoweza na kuacha tusiyoweza yafanywe na wenye ujuzi nayo.Haya ndo mambo tunaweza kufatilia kwa ufanisi.