D.Trump-no one is above the law, obama apigwa pingu!

D.Trump-no one is above the law, obama apigwa pingu!

Kwani Obama kama rais mstaafu hana kinga ya kutoshtakiwa? Hiyo sio sawa urais ni cheo kikubwa sana na ni icon ya taifa anatakiwa kulindwa vilivyo na katiba!
 
Kama yeye mwenyewe Trump hakufungwa atamfunga mstaafu

Trump ana utoto sana ingawa anaongoza Taifa kubwa lenye nguvu 😂
 
Huyu bipolar ana personal issues na Obama ama vipi...naona rais mwafrika kua rais wa marekani itakua ilimuuma sana fucking racist
 
Kwani Obama kama rais mstaafu hana kinga ya kutoshtakiwa? Hiyo sio sawa urais ni cheo kikubwa sana na ni icon ya taifa anatakiwa kulindwa vilivyo na katiba!
Huo ujinga wa Kinga upo huku kwenye shithole country
 
Back
Top Bottom