Haiwezi kutokea. If Trump, a real felon, didnβt go to prison, that will never happen!(parody)
D.Trump kaposti obama akipigwa pingu, na kwamba hakuna aliye juu ya sheria β¦
View: https://x.com/WarClandestine/status/1947106854724612309?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1947106854724612309%7Ctwgr%5E931885848092da0a1cade43b7dce737f61cd9ce5%7Ctwcon%5Es1_&ref_url=https%3A%2F%2Fwww.zerohedge.com%2Fmarkets%2Ftrump-posts-ai-video-obama-being-arrested-handcuffed-he-gleefully-watches
Kwamba umejisahaulisha yeye walivyomsumbua?Huyu bipolar ana personal issues na Obama ama vipi...naona rais mwafrika kua rais wa marekani itakua ilimuuma sana fucking racist
Huo ujinga wa Kinga upo huku kwenye shithole countryKwani Obama kama rais mstaafu hana kinga ya kutoshtakiwa? Hiyo sio sawa urais ni cheo kikubwa sana na ni icon ya taifa anatakiwa kulindwa vilivyo na katiba!
ππhuwa wanamuanza wenyewe, D.Trump huwa anajibu mashambulizi tu β¦