Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Malizia ya kikeShida alianza kwa kupigwa picha na machupi,
Hawa walikosea kumtoa na album, bora EP au mfululizo wa single ili mashabiki wapate muda wa kumjua vizuri msanii.Dogo amepoa sana kama uji wa sembe, hana amsha amsha, mziki wa bongo unahitaji uandishi mzuri na drama kwa wingi ili uende mjini.
Diamond platnumz licha ya uandishi wake mzuri alikuwa na drama nyingi, rejea harmonize, rayvann, mbosso, zuchu hawa wote wimbo wao wa kwanza tu uliwapeleka mjini, lakini licha ya hayo walikuwa na drama nyingi nje ya uwanja.
Wcb mwambieni hata mboso amuandikie huyo dogo wimbo mmoja, kisha mumtafutia lijimama hata mashalove ionekane ananing’inia kwenye yale maziwa watu wapate la kumzungumzia hapa town.
huenda imekuwa fitina ya kimkakati hiyo.Misso Misondo katrend kuliko D voice
AMEPIGAJE HAPOMisso Misondo katrend kuliko D voice
Dogo amepoa sana kama uji wa sembe, hana amsha amsha, mziki wa bongo unahitaji uandishi mzuri na drama kwa wingi ili uende mjini.
Diamond platnumz licha ya uandishi wake mzuri alikuwa na drama nyingi, rejea harmonize, rayvann, mbosso, zuchu hawa wote wimbo wao wa kwanza tu uliwapeleka mjini, lakini licha ya hayo walikuwa na drama nyingi nje ya uwanja.
Wcb mwambieni hata mboso amuandikie huyo dogo wimbo mmoja, kisha mumtafutia lijimama hata mashalove ionekane ananing’inia kwenye yale maziwa watu wapate la kumzungumzia hapa town
Dogo amepoa sana kama uji wa sembe, hana amsha amsha, mziki wa bongo unahitaji uandishi mzuri na drama kwa wingi ili uende mjini.
Diamond platnumz licha ya uandishi wake mzuri alikuwa na drama nyingi, rejea harmonize, rayvann, mbosso, zuchu hawa wote wimbo wao wa kwanza tu uliwapeleka mjini, lakini licha ya hayo walikuwa na drama nyingi nje ya uwanja.
Wcb mwambieni hata mboso amuandikie huyo dogo wimbo mmoja, kisha mumtafutia lijimama hata mashalove ionekane ananing’inia kwenye yale maziwa watu wapate la kumzungumzia hapa town.
🤔Hivi kumbe hizi ndio njia za kujua uku mtaani kugumu hivi alafu atuendi mjini 😂Dogo amepoa sana kama uji wa sembe, hana amsha amsha, mziki wa bongo unahitaji uandishi mzuri na drama kwa wingi ili uende mjini.