and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
CHADEMA ndio wanapaswa kulaumiwa!ππππππWatu wameingia kwenye taharuki kufuatia kinachoitwa D9, usafiri wa umma, vituo vya mafuta, upatikanaji wa Kondomu na vyakula vikavu. CHADEMA ndio wanapaswa kulaumiwa!
Mbogamboga ndo wanapaswa kulaumiwa!
astagfulilah ni nini hiki jamani πππ
Utekaji na mauaji afanye Samia na serekali yake, lawama wapewe CHADEMAWatu wameingia kwenye taharuki kufuatia kinachoitwa D9, usafiri wa umma, vituo vya mafuta, upatikanaji wa Kondomu na vyakula vikavu. CHADEMA ndio wanapaswa kulaumiwa!
Kwamba chadema ndo huwa wanateka na kuua watu?Watu wameingia kwenye taharuki kufuatia kinachoitwa D9, usafiri wa umma, vituo vya mafuta, upatikanaji wa Kondomu na vyakula vikavu. CHADEMA ndio wanapaswa kulaumiwa!
Hiyo ni kazi bora ambayo imefanywa na rais wako, hakuna kazi nyngn anayoiweza kwa 100% kama hiyoastagfulilah ni nini hiki jamani πππ
... hutosheki na kuendelea kuangalia na kushea hii? ... utakuwa haujaathirika directly, yaani unamwaga machozi ya mamba!
KAZI na UTU kwenye picha.astagfulilah ni nini hiki jamani πππ
Chadema wamezuia katiba mpyaCHADEMA ndio wanapaswa kulaumiwa!ππππππ
kama ni hivi basi D9 itanibidi nitoke tu no wayπ₯Hiyo ni kazi bora ambayo imefanywa na rais wako, hakuna kazi nyngn anayoiweza kwa 100% kama hiyo
nimesikitikaKAZI na UTU kwenye picha.
Matokeo ya MITANO TENA.
Usafiri imekuwaje mkuu nataka kwenda moro keshoWatu wameingia kwenye taharuki kufuatia kinachoitwa D9, usafiri wa umma, vituo vya mafuta, upatikanaji wa Kondomu na vyakula vikavu. CHADEMA ndio wanapaswa kulaumiwa!
Hizi picha naona unazipenda sana, na uhakika hamna ndugu yako wa damu kwenye hizi maiti, usingezifanyia biashara kiasi hiki. Hata kama ni maiti zifanyie staha. Malengo yako unayaweza kuyafanikisha kwa namna nyingine.