Dr Adam Francis
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 790
- 1,316
Hili haliwezekani.So waliouwawa tusahau tu kama vile hakuna kilichotokea sio? Watuue then waendelee kututawala tu kwa amani?
Umetimiza wajibu wako, baada ya hapa kaa kimya. Tusubiri moto uwake tarehe 09 Disemba 2025. Narudia tena vyombo vya dola makosa yaliyofanyika tarehe 29 Oktoba 2025 yasirudiwe tena. Wahalifu hawapaswi kuachwa wafanye watakavyo, nchi ina watu zaidi ya Milioni 60. Kikundi cha watu kwa maslahi yao hakiwezi kusababisha kundi kubwa la wananchi waishi kwa taharuki. Ni kumalizana nao mapema warudishe salamu kwa waliowatuma. Muda wa kupeana nasaha umeisha.Upo msemo usemao kuwa VITA HAINA MACHO! Usemi huu unatokana na ukweli kwamba risasi zikishapigwa hazibagui nani anahatia na nani hana hatia. Machafuko yakisha fika hatua hii sirahisi tena kuyadhibiti. Yatazaa vicious circle ya visasi juu ya visasi kitakachofuata hatutakuwa na Tanzania tuliyoizoea tena.
Hakuna mtanzania mwenye utu na akili timamu ambaye hajaguswa na mauaji, kujeruhi na uharibifu wa mali uliofuatia Octoba 29. Ukitazama video clip zinazotembea kwenye mitandao, kiukweli mioyo inakufa ganzi. Huu ndio ukweli ambao hatuubishanii tena!
Swali kubwa ni tunatokaje hapo? Je, tukisema iwe jicho kwa jicho, tutaua wangapi? Tutajeruhi wangapi? Tutafunga wangapi? Na baada ya hivi visasi, wahanga wa visasi, wakiamua kujibu mapigo mwisho wake utakua ni nini? Ndugu zangu kosa halisahihiswi kwa kosa, giza halifukuzi giza, hivi ndivyo Martin Luther King, mpigania haki za watu weusi maarufu alivyotufundisha.
Ni kweli makosa yamefanyika, na kama tukiwa wakweli wadau wote wa matukio yale wanachakulaumiwa, kuanzia serikali, vyombo vya dola, waandamanaji, na vyama vya upinzani. Katika hali hii ndipo inakuja hoja ya Bwana Yesu, "Asiye na dhambi na awe wa kwanza kurusha jiwe" Yohana 8:7.
Mm nadhani tunaokataa maridhiano tujifunze kwa majirani zetu Rwanda, utulivu walionao sasa ni matokeo ya campaign nzuri ya maridhiano iliyoitwa "Ndi Umunyarwanda" Kadhalika South Africa, baada ya utawala dhalimu wa ubaguzi wa rangi kilichoituliza nchi yao ni Truth and Reconciliation Commission (TRC) iliyoongozwa Archbishop Desmond Tutu.
Tukiamua kama serikali ni ngangali basi wananchi ni ngunguli, tutazika ndugu zetu, tupata walemavu wa kutosha, biashara zitafilisika na miondombinu mingi itaharibika. Katika hali hiyo nani atakuwa ameshinda?
Wewe jamaa nasikitika sana nikiona maandiko yako ya sasa hivi. Hivi umeishiaje kuwa upande wa wadhalimu? I remember your KCM College days, ulipambana haswa dhidi ya udhalimu na wadhalimu. Nilishiriki nawe baadhi ya hayo mapambano kwa ukaribu kiasi, na kupitia huo ushirikiano, nilipata kufahamu namna ulivyokua unachukia udhalimu na uonevu. Nini kimekuja kukupata kaka?Upo msemo usemao kuwa VITA HAINA MACHO! Usemi huu unatokana na ukweli kwamba risasi zikishapigwa hazibagui nani anahatia na nani hana hatia. Machafuko yakisha fika hatua hii sirahisi tena kuyadhibiti. Yatazaa vicious circle ya visasi juu ya visasi kitakachofuata hatutakuwa na Tanzania tuliyoizoea tena.
Hakuna mtanzania mwenye utu na akili timamu ambaye hajaguswa na mauaji, kujeruhi na uharibifu wa mali uliofuatia Octoba 29. Ukitazama video clip zinazotembea kwenye mitandao, kiukweli mioyo inakufa ganzi. Huu ndio ukweli ambao hatuubishanii tena!
Swali kubwa ni tunatokaje hapo? Je, tukisema iwe jicho kwa jicho, tutaua wangapi? Tutajeruhi wangapi? Tutafunga wangapi? Na baada ya hivi visasi, wahanga wa visasi, wakiamua kujibu mapigo mwisho wake utakua ni nini? Ndugu zangu kosa halisahihiswi kwa kosa, giza halifukuzi giza, hivi ndivyo Martin Luther King, mpigania haki za watu weusi maarufu alivyotufundisha.
Ni kweli makosa yamefanyika, na kama tukiwa wakweli wadau wote wa matukio yale wanachakulaumiwa, kuanzia serikali, vyombo vya dola, waandamanaji, na vyama vya upinzani. Katika hali hii ndipo inakuja hoja ya Bwana Yesu, "Asiye na dhambi na awe wa kwanza kurusha jiwe" Yohana 8:7.
Mm nadhani tunaokataa maridhiano tujifunze kwa majirani zetu Rwanda, utulivu walionao sasa ni matokeo ya campaign nzuri ya maridhiano iliyoitwa "Ndi Umunyarwanda" Kadhalika South Africa, baada ya utawala dhalimu wa ubaguzi wa rangi kilichoituliza nchi yao ni Truth and Reconciliation Commission (TRC) iliyoongozwa Archbishop Desmond Tutu.
Tukiamua kama serikali ni ngangali basi wananchi ni ngunguli, tutazika ndugu zetu, tupata walemavu wa kutosha, biashara zitafilisika na miondombinu mingi itaharibika. Katika hali hiyo nani atakuwa ameshinda?
Shenzi kabisa, tutakupata tu kama Ulikua ukitegemea Maridhiano, tutakupata.Upo msemo usemao kuwa VITA HAINA MACHO! Usemi huu unatokana na ukweli kwamba risasi zikishapigwa hazibagui nani anahatia na nani hana hatia. Machafuko yakisha fika hatua hii sirahisi tena kuyadhibiti. Yatazaa vicious circle ya visasi juu ya visasi kitakachofuata hatutakuwa na Tanzania tuliyoizoea tena.