Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Satellite kwenye ripoti ijayo itawaumbua na kama hawajafukua pia tutajua lakini kuchimbua lazimaWatakua washahamisha usiku uleule, sio wajinga kihivyo
Watajua wenyewe sisi lazima tukachimbue kama walifukia tutajuaKwamba hadi sasa hawajayaamisha
kisa ninachumbua kaburi hivi akili umeziacha a wapi dogo haya yote kusudi ni nini upumbavu mwingi sanaUtakula risasi ya kichwa kabla ya kufika hapo
hakikisha mmejichimbia makaburi yenu ya kuwazikia kabisa sio mtusumbue kuwachimbiaKaribuni wanawasubiri kwa hamu kubwa