kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 6,716
- 12,116
HUKU BONGO ETI MZEE MMOJA ANATEGEMEA MAJINI KUCHEZA MPIRA vichekesho hiviTanzania ni kinyume chake.
Kaka ...
Ninyi mko busy kushika ukutaUkawa wapo busy kujenga Ukuta..
dah huyo jamaa anakimbia hussen bolt nyuma ingawa mbio tofautiMarekani wanaiba wachezaji bora na kuwapa uraia. Pia Tz tutumie mbinu za Marekani tuibe angalau Mr.Rudisha tumpe ardhi huko Kiteto next season apeperushe bendera ya Tanzania.