Da! Kila Olimpiki Marekani ndo inaongoza kwa Medali

Da! Kila Olimpiki Marekani ndo inaongoza kwa Medali

Waziri wa michezo Nape, ukijumlisha na wasanii wale viongozi wa vyama vya michezo, aaaah hapa tunadanganyana wazee.
 
Marekani wanaiba wachezaji bora na kuwapa uraia. Pia Tz tutumie mbinu za Marekani tuibe angalau Mr.Rudisha tumpe ardhi huko Kiteto next season apeperushe bendera ya Tanzania.
 
Marekani wanaiba wachezaji bora na kuwapa uraia. Pia Tz tutumie mbinu za Marekani tuibe angalau Mr.Rudisha tumpe ardhi huko Kiteto next season apeperushe bendera ya Tanzania.
dah huyo jamaa anakimbia hussen bolt nyuma ingawa mbio tofauti
 
Angalia list ya nchi yenye medali nyingi alaf angalia na maendeleo yake ndio utajua kuchukua Olympic medal kunaendana na maendeleo ya nchi pia.
 
Viongozi wetu wana akili kama za kina mzee akilimali.
Unategemea maendeleo yeyote hapo?
 
Back
Top Bottom