Da kumbe Wallace Karia ni mtu mkubwa hivi na si mganga njaa!

Nimeshanga na habari kuwa huyu bwana ni Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Mvomero. Nawasilisha

habari ipo nusu,hujatoa dondoo kwanza kama mimi ndo kwanza naona jina lake hape..ana umaarufu gani hasa ukiacha huo ukurugenzi
 
Nimeshanga na habari kuwa huyu bwana ni Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Mvomero. Nawasilisha

Kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya (DED) ni kuwa mtu mkubwa hadi upost hapa JF? Mawazo kama hayo yamelenga kutukuza watu kwa nyadhifa na mali zao, ndiyo maana SSB mnamtukuza sana, sitashangaa kusikia kuwa naye sasa ni Mungu anayeabudiwa na kutukuzwa pamoja na Baba na Mwana.
 
Ninashangaa jinsi anavyohangaika na issue za Vilabu pale TFF

Ukweli ni kwamba anapenda sana soka hicho ndio kinachomfanya hivyo,alipokuwa Tanga alishughulika sana na Coastal Union,alipohamishiwa Manyara ndio akaifanya Molani ikapanda nadhani kwa mifano hiyo unaweza kuona ni mtu wa namna gani
 
Toka Mvomero mpaka Dar ni saa ngapi?

Umeshaambiwa wao ni wasimamiaji tu na ndio maana kuna mtendaji mkuu wa kazi za kila siku za TFF ambae ameajiriwa hata rais sio anafanya kazi za serikali ndio maana akawepo Waziri Mkuu sasa TFF kuna Katibu Mkuu ambaye ameajiriwa na kazi zake ni za kila siku kwa maana ya mtendaji mkuu wa TFF Rais,Makamu wa Rais na Watendaji wengineo wanaochaguliwa kwa Kanda wao ni wasimamizi tu wa waajiliwa wa TFF lazima tulifahamu hilo hiyo hoja ya umbali wa Morogoro na Dar sio Hoja kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…