Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msomali halafu ni DED wa mvomero...... Kipi bora msomali rais wa TFF au kuwa msomali hlf mtumishi wa serikaliRais wa TFF Msomali!
Kweli Tanzania ni bure kabisa!
I am entitled to my opinion.
Unamkumbuka Rage?Rais wa TFF Msomali!
Kweli Tanzania ni bure kabisa!
I am entitled to my opinion.
Tutamuhamishia Dar,asiwe na wasiwasi.Umeshaambiwa wao ni wasimamiaji tu na ndio maana kuna mtendaji mkuu wa kazi za kila siku za TFF ambae ameajiriwa hata rais sio anafanya kazi za serikali ndio maana akawepo Waziri Mkuu sasa TFF kuna Katibu Mkuu ambaye ameajiriwa na kazi zake ni za kila siku kwa maana ya mtendaji mkuu wa TFF Rais,Makamu wa Rais na Watendaji wengineo wanaochaguliwa kwa Kanda wao ni wasimamizi tu wa waajiliwa wa TFF lazima tulifahamu hilo hiyo hoja ya umbali wa Morogoro na Dar sio Hoja kabisa
Bora umemjibu mkuu mm nilijua atatoa vitu vya kueleweka kumbe pumba tu, bongo hakuna uongozi kwenye soka wote wananjaa ngoja tuone, time will tell huyo Wallace..Kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya (DED) ni kuwa mtu mkubwa hadi upost hapa JF? Mawazo kama hayo yamelenga kutukuza watu kwa nyadhifa na mali zao, ndiyo maana SSB mnatukuza sana, sitashangaa kusikia kuwa naye sasa ni Mungu anayeabudiwa na kutukuzwa pamoja na Baba na Mwana.