Da kumbe Wallace Karia ni mtu mkubwa hivi na si mganga njaa!

Da kumbe Wallace Karia ni mtu mkubwa hivi na si mganga njaa!

Umeshaambiwa wao ni wasimamiaji tu na ndio maana kuna mtendaji mkuu wa kazi za kila siku za TFF ambae ameajiriwa hata rais sio anafanya kazi za serikali ndio maana akawepo Waziri Mkuu sasa TFF kuna Katibu Mkuu ambaye ameajiriwa na kazi zake ni za kila siku kwa maana ya mtendaji mkuu wa TFF Rais,Makamu wa Rais na Watendaji wengineo wanaochaguliwa kwa Kanda wao ni wasimamizi tu wa waajiliwa wa TFF lazima tulifahamu hilo hiyo hoja ya umbali wa Morogoro na Dar sio Hoja kabisa
Tutamuhamishia Dar,asiwe na wasiwasi.
 
Kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya (DED) ni kuwa mtu mkubwa hadi upost hapa JF? Mawazo kama hayo yamelenga kutukuza watu kwa nyadhifa na mali zao, ndiyo maana SSB mnatukuza sana, sitashangaa kusikia kuwa naye sasa ni Mungu anayeabudiwa na kutukuzwa pamoja na Baba na Mwana.
Bora umemjibu mkuu mm nilijua atatoa vitu vya kueleweka kumbe pumba tu, bongo hakuna uongozi kwenye soka wote wananjaa ngoja tuone, time will tell huyo Wallace..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom