Da kwamimi binafsi sijafurahishwa na mchezo.

Rule L

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2020
Posts
1,846
Reaction score
2,754
Kwanza kabisa niwapongeze wachezaji kwa kazi kubwa waliyoifanya ya kupark shabiby mpaka mwisho,, ila mchezo haukua wa kufurahisha hata kidogo.

Kuna chances ambazo zimepotezwa bila sababu, watu hawakabi hata kidogo. Mpaka kuna muda mchezaji wa mamelodi alikua anasimama na mpira karibia 30 second's bila kufuatwa kukabwa.

All in all masandawana ni wa kawaida sana so lolote lile linaweza kutokea kule kwao,

Lakini pia wamemuonea mudathiri yahya kwenye #Muda day bora wangeacha tu watafte siku nyingine maana kikosi hakikua poa kwa leo.

#NB nilivyoona XI pressure ilipanda balaa nikajua kwisha kazi.
 
........sidhani kama yanga walipaki basi ila ninachowapongeza ni kwamba waligundua mapema game plan ya sundown ya kucheza nyuma ili kuwavuta yanga, so yanga nao wakagoma kuvutika, huwezi sema walipaki basi wakati walikuwa wanacheza kwenye goli lao......
.......Jana makosa ya simba yalikuwa ni kukosa magoli ila leo makosa ya yanga ni kupoteza pass mara kwa mara plus magoli Kwa nafasi finyu walizopata, game plan ya sundown ya kucheza nyuma na reaction ya yanga ya kusimamia bila kuwafuata ikasababisha mpira kutovutia.......
........nafikiri timu zote simba na yanga zikiongeza nidhamu na usiriaz ugenini zina uwezo wa kupindua matokeo, BTW naona mmoja akisonga hatua inayofuata......
 
Umeelezea vizuri sana, inabidi ufanisi pale mbele uongezwe ili ukipata chance hata 2 Moja iwe goal
 
Acha kushabikia hizi timu kwa mihemko hivyo na mapresha mzee, utakuja kujifia bure uache familia yako inahangaika bure, utasepa na watakua hawajui kamwe kua kulikua na shabiki aliepata shinikizo la damu sababu ya timu yao, na timu na wachezaji wataendelea kupiga pesa
 
Kufa kupo palepale tu mkuu
 
Kwangu upande wangu nawapongeza wachezaji na benchi zima la ufundi. Maana timu ilicheza vizuri. Na ndiyo maana matokeo yamebakia kuwa 0-0! Wachezaji kukoda magoli, nisehemu ya mchezo. Hata wachezaji wakubwa huwa wanakosa nafasi kama walizokosa akina Mzize.

Uzuri bado wana nafasi nyingine ya kurekebisha mapungufu yao kwenye mechi ya jana. Ila kwa mechi ya jana, hakika sina deni na timu nzima ya wananchi Young Africans. 💛💚
 
watu hawakabi hata kidogo. Mpaka kuna muda mchezaji wa mamelodi alikua anasimama na mpira karibia 30 second's bila kufuatwa kukabwa.

Jana game plan ya kocha ni kukaba njia, wachezaji wa Mamelod ni wazuri kwenye kugongeana pasi za haraka na wana kasi hivyo kocha kwa kulijua hilo aliamua kuziba njia. Huyo mchezaji anasimama na mpira karibia sekunde 30 ni kwamba anashindwa kujua mpira aupeleke wapi na mwisho wa siku anaamua kupiga back pass. Benchi ya ufundi kwa first leg waliisoma vyema Mamelod na kuingia na mbinu sahihi na wachezaji walijitahidi kuyaelewa maelekezo ila bahati mbaya hakuna straika wa maana mbele.
 
Mwaka jana timu ilimkosa daktari khalid aucho kwanye fainali ya shirikisho dhidi ya USM ALGER tukafa 2 hapa...
Just imagine tumemkosa tena daktari aucho,pacome na yao wote ni first eleven halaf dhidi ya Mamelod sundown halafu mechi inaisha 0-0 tumejitahidi
Kocha hana namba 6 best zaidi ya aucho yaani mkude kuna mda alikua anapwaya mipira mbele ya mabeki wanaipata jamaa wa sundown hadi akasababisha mwamnyeto kuja kucheza rafu mara kwa mara na baka pia
Naona kuna haja ya kumwambia Aziz Ki ukweli kua apambane kuna muda anakua na makosa binafsi
NB: ile yanga mipira kupotea sio kwamba yanga walikua wanakosea,Al Ahly alikufa 5 na mamelodi sababu ilikua ile ile. Jamaa wako faster sana kukuadhibu kipindi we unao mpira. Ndio maana yanga hawakutaka kukaa na mpira hata kidogo

Mechi ya maruddiano kule afrika kusini ndio yanga wanafunguka mutaona ile mechi mulioitarajia
Mamelod 1-2 yanga
My predict
 
Kwa wanaomlaumu mzize niwakumbushe,
⚽mzize hii ni msimu yake ya 3 kama sikosei.....kijana mdogo katoka timu ndogo.....
📌Juzi Kahraba mchezaji wa Ahly ana uzoefu wa muda mrefu klabu bingwa yeye na kipa kashindwa kufunga,
📌Saidoo kacheza ufaransa na timu kubwa juzi yeye na kipa kashindwa kufunga
🔔Mimi nampa credit mzize alikua anawafanya wale mabeki wacheze kwa wasiwasi sana
Thats credit for him🙏🏽
 
Kama unasema Mamelodi walikaa na mpira sek hadi 30 kwanini wasiende mbele. Yanga jana walicheza vzr wakiwa hawana wachezaji wao 3 muhimu. Sometime tujifunze kupongeza. Ubgesema walipoteza nafasi zile za goli kwa kukosa umakoni mbele ya lango la adui
 
Kwanza kabisa niwapongeze wachezaji kwa kazi kubwa waliyoifanya ya kupark shabiby mpaka mwisho,, ila mchezo haukua wa kufurahisha hata kidogo.

Kuna chances ambazo zimepotezwa bila sababu, watu hawakabi hata kidogo. Mpaka kuna muda mchezaji wa mamelodi alikua anasimama na mpira karibia 30 second's bila kufuatwa kukabwa.

All in all masandawana ni wa kawaida sana so lolote lile linaweza kutokea kule kwao,

Lakini pia wamemuonea mudathiri yahya kwenye #Muda day bora wangeacha tu watafte siku nyingine maana kikosi hakikua poa kwa leo.

#NB nilivyoona XI pressure ilipanda balaa nikajua kwisha kazi.
Hujui mpira ww, jana ilikua ni mechi ya kimbinu zaid na sio kufunguka unavotaka ww.

Nakupa mfano itazame Brighton inavocheza wanapenda kuanza nyuma huku huku wakipoozesha mchezo ili kumlazimisha adui awafanyie pressing na ukienda kuwafanyia pressing ni pass 5 tu wamefika kwenye box lako.

Jana mamelod ndo alichokua anakifanya sasa, gamond aliwambia wachezaji wafanye pressing kuanzia kati kati uwanja tu kule wawaachie mpira.

Hata mech ya yanga na azam mbona au simba na azam mbona kocha wa azam alielezea hiki kitu akasema ni hatar kuwafanyia pressing simba kwahy akawambia wasiwafanyie pressing simba kule juu..

Ungekuwa unaufaham mpira usingeandika hizi takataka.. unapoona mpinzan wako anakuzid quality lazima uje kimbinu zaid kumdibiti na sio kufunguka tu.
 
Mchezaji kukaa na mpira mda mrefu ni ishara kua timu imekabwa hana sehemu ya kupasia mbona vitu vingine ni rahisi sana
 
Hujui mpira ww, jana ilikua ni mechi ya kimbinu zaid na sio kufunguka unavotaka ww.

Nakupa mfano itazame Brighton inavocheza wanapenda kuanza nyuma huku huku wakipoozesha mchezo ili kumlazimisha adui awafanyie pressing na ukienda kuwafanyia pressing ni pass 5 tu wamefika kwenye box lako.

Jana mamelod ndo alichokua anakifanya sasa, gamond aliwambia wachezaji wafanye pressing kuanzia kati kati uwanja tu kule wawaachie mpira.

Hata mech ya yanga na azam mbona au simba na azam mbona kocha wa azam alielezea hiki kitu akasema ni hatar kuwafanyia pressing simba kwahy akawambia wasiwafanyie pressing simba kule juu..

Ungekuwa unaufaham mpira usingeandika hizi takataka.. unapoona mpinzan wako anakuzid quality lazima uje kimbinu zaid kumdibiti na sio kufunguka tu.
Mamelodi walikuja kwalengo la kupata sare na wamefanikiwa je sisi kule kwao tutaweza??? Isije kua yaleyale ya kubanabana ila mwisho wa siku tukatolewa, ikawa tulichelewesha muda tu
 
Tuchape kazi kwanza mambo ya mipira tutayajadili baada ya kazi
 
Back
Top Bottom