Rule L
JF-Expert Member
- May 31, 2020
- 1,846
- 2,754
Kwanza kabisa niwapongeze wachezaji kwa kazi kubwa waliyoifanya ya kupark shabiby mpaka mwisho,, ila mchezo haukua wa kufurahisha hata kidogo.
Kuna chances ambazo zimepotezwa bila sababu, watu hawakabi hata kidogo. Mpaka kuna muda mchezaji wa mamelodi alikua anasimama na mpira karibia 30 second's bila kufuatwa kukabwa.
All in all masandawana ni wa kawaida sana so lolote lile linaweza kutokea kule kwao,
Lakini pia wamemuonea mudathiri yahya kwenye #Muda day bora wangeacha tu watafte siku nyingine maana kikosi hakikua poa kwa leo.
#NB nilivyoona XI pressure ilipanda balaa nikajua kwisha kazi.