Umeelezea vizuri sana, inabidi ufanisi pale mbele uongezwe ili ukipata chance hata 2 Moja iwe goal........sidhani kama yanga walipaki basi ila ninachowapongeza ni kwamba waligundua mapema game plan ya sundown ya kucheza nyuma ili kuwavuta yanga, so yanga nao wakagoma kuvutika, huwezi sema walipaki basi wakati walikuwa wanacheza kwenye goli lao......
.......Jana makosa ya simba yalikuwa ni kukosa magoli ila leo makosa ya yanga ni kupoteza pass mara kwa mara plus magoli Kwa nafasi finyu walizopata, game plan ya sundown ya kucheza nyuma na reaction ya yanga ya kusimamia bila kuwafuata ikasababisha mpira kutovutia.......
........nafikiri timu zote simba na yanga zikiongeza nidhamu na usiriaz ugenini zina uwezo wa kupindua matokeo, BTW naona mmoja akisonga hatua inayofuata......
Kufa kupo palepale tu mkuuAcha kushabikia hizi timu kwa mihemko hivyo na mapresha mzee, utakuja kujifia bure uache familia yako inahangaika bure, utasepa na watakua hawajui kamwe kua kulikua na shabiki aliepata shinikizo la damu sababu ya timu yao, na timu na wachezaji wataendelea kupiga pesa
watu hawakabi hata kidogo. Mpaka kuna muda mchezaji wa mamelodi alikua anasimama na mpira karibia 30 second's bila kufuatwa kukabwa.
Hujui mpira ww, jana ilikua ni mechi ya kimbinu zaid na sio kufunguka unavotaka ww.Kwanza kabisa niwapongeze wachezaji kwa kazi kubwa waliyoifanya ya kupark shabiby mpaka mwisho,, ila mchezo haukua wa kufurahisha hata kidogo.
Kuna chances ambazo zimepotezwa bila sababu, watu hawakabi hata kidogo. Mpaka kuna muda mchezaji wa mamelodi alikua anasimama na mpira karibia 30 second's bila kufuatwa kukabwa.
All in all masandawana ni wa kawaida sana so lolote lile linaweza kutokea kule kwao,
Lakini pia wamemuonea mudathiri yahya kwenye #Muda day bora wangeacha tu watafte siku nyingine maana kikosi hakikua poa kwa leo.
#NB nilivyoona XI pressure ilipanda balaa nikajua kwisha kazi.
Mchezaji kukaa na mpira mda mrefu ni ishara kua timu imekabwa hana sehemu ya kupasia mbona vitu vingine ni rahisi sanaKwanza kabisa niwapongeze wachezaji kwa kazi kubwa waliyoifanya ya kupark shabiby mpaka mwisho,, ila mchezo haukua wa kufurahisha hata kidogo.
Kuna chances ambazo zimepotezwa bila sababu, watu hawakabi hata kidogo. Mpaka kuna muda mchezaji wa mamelodi alikua anasimama na mpira karibia 30 second's bila kufuatwa kukabwa.
All in all masandawana ni wa kawaida sana so lolote lile linaweza kutokea kule kwao,
Lakini pia wamemuonea mudathiri yahya kwenye #Muda day bora wangeacha tu watafte siku nyingine maana kikosi hakikua poa kwa leo.
#NB nilivyoona XI pressure ilipanda balaa nikajua kwisha kazi.
Mamelodi walikuja kwalengo la kupata sare na wamefanikiwa je sisi kule kwao tutaweza??? Isije kua yaleyale ya kubanabana ila mwisho wa siku tukatolewa, ikawa tulichelewesha muda tuHujui mpira ww, jana ilikua ni mechi ya kimbinu zaid na sio kufunguka unavotaka ww.
Nakupa mfano itazame Brighton inavocheza wanapenda kuanza nyuma huku huku wakipoozesha mchezo ili kumlazimisha adui awafanyie pressing na ukienda kuwafanyia pressing ni pass 5 tu wamefika kwenye box lako.
Jana mamelod ndo alichokua anakifanya sasa, gamond aliwambia wachezaji wafanye pressing kuanzia kati kati uwanja tu kule wawaachie mpira.
Hata mech ya yanga na azam mbona au simba na azam mbona kocha wa azam alielezea hiki kitu akasema ni hatar kuwafanyia pressing simba kwahy akawambia wasiwafanyie pressing simba kule juu..
Ungekuwa unaufaham mpira usingeandika hizi takataka.. unapoona mpinzan wako anakuzid quality lazima uje kimbinu zaid kumdibiti na sio kufunguka tu.
AhaaaKwani ww nani mpk wakukune?
Asante