Yaani nimeumizwa sna na kesho nina pepa sijui itakuwaje jamani naomben tuwe na kiasi
wewe kama ni She ukimaliza pepa nipigie,mPM mama Tulli atakupa namba yangu.
Inauma kweli ila jaribu kufikiria long term zaidi. Chance ya kufanya hiyo paper ni kesho tu, na matokeo yake ni for a life time. CHances za kusolve kesi na mwenzio zipo nyingi, na matokeo ya kusolve/kutosolve hazina effect sana kwenye maisha in the long term, ingawa sasa hivi unaona kakuumiza sana. Basi, be strong and focus on your paper.