Daa kweli kupenda sana jamani ni hatari

Daa kweli kupenda sana jamani ni hatari

Nenda na focus yako kama uko kishule piga shule acha uzandiki
mapenzi yapo tu usilazimishe mambo
 
...hivi kupenda sana kukoje wajameni,....?
mwenzenu sijui kiwango, nakwenda na flow tu...
 
mimi ninao mademu wengi lakini mmoja akinitenda naumia ile mbaya,sijui nibaki na moja?
 
Inauma kweli ila jaribu kufikiria long term zaidi. Chance ya kufanya hiyo paper ni kesho tu, na matokeo yake ni for a life time. CHances za kusolve kesi na mwenzio zipo nyingi, na matokeo ya kusolve/kutosolve hazina effect sana kwenye maisha in the long term, ingawa sasa hivi unaona kakuumiza sana. Basi, be strong and focus on your paper.

nakupenda sana RR
 
aaaaaaaah jamani focus kwanza pepa then utasolve baadae usiwe na wasi wasi,
 
Back
Top Bottom